Hakuna kinachompa moyo msanii kama mapokezi mazuri ya wimbo
wake, Bila shaka Diamond kwasasa anafuraha kubwa kwani video ya wimbo
wake mpya ‘Kidogo’ aliowashirikisha P sqaure imeshaweka rekodi ya
kutazamwa zaidi ya mara Million 1 kwenye mtandao wa Youtube ndani ya
siku nne tu.
Kwenye ukurasa wake wa instagram Diamond ameandika...
No comments:
Post a Comment