skip to main |
skip to sidebar
KAULI YA DIAMOND BAADA YA KUWEKA REKODI YOUTUBE
Hakuna kinachompa moyo msanii kama mapokezi mazuri ya wimbo
wake, Bila shaka Diamond kwasasa anafuraha kubwa kwani video ya wimbo
wake mpya ‘Kidogo’ aliowashirikisha P sqaure imeshaweka rekodi ya
kutazamwa zaidi ya mara Million 1 kwenye mtandao wa Youtube ndani ya
siku nne tu.
Kwenye ukurasa wake wa instagram Diamond ameandika...
0 comments:
Post a Comment