Hivi
karibuni zilisambaa picha kwenye mitandao ya kijamii zikimuonyesha
msanii wa Bongofleva Rashid Makwilo ‘Chid Benz’ akionekana kurudi kwenye
dawa za kulevya.Leo December 31 2016 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba amekutana na kufanya mazungumzo na mama wa Chid Benz, baada ya kuonana na mama yake Chid Benz haya ni maneno aliyoyaandika kwenye ukurasa wake wa Instagrm...




































Follow on Instagram