skip to main |
skip to sidebar
WCB KUCHOMA GARI JUKWAANI
Kama Kichwa cha habari kinavyojieleza Meneja wa Diamond Sallam Sk
Mendez Akihojiwa na XXL leo Live pale mlimani City amesema wanapanga
kupandisha gari Jukwaani na kulipiga kiberiti live watu wakishuhudia
siku ya kesho Kwenye Party ya Wasafi, Amedai...
stunt kama hizo zinasaidia kufanya mziki wetu uendelee kuwa gumzo Afrika na kukua zaidi…..
0 comments:
Post a Comment