KIM KARDASHIAN AFANYA UPASUAJI WA MAKALIO YAKE KWA MARA NYINGINE
Mwanamitindo na Mtangazaji wa Kipindi cha Keeping Up With The
Kardashians (KUWTK), Kim Kardashian amefanya upasuaji wa kuyarudisha
makalio yake kwa mara nyingine.
Mwezi uliopita, Mtandao wa RadarOnlineuliripoti kuwa mwanamama huyo
mwenye watoto wawili, North na Saint aliyezaa na mkali wa Hip Hop, Kanye
West ameamua kufanya upasuaji wa... kuyapunguza makalio yake alipokuwa
katika ziara ya kifamilia huko Costa Rica. Kwa habari za sasa, Kim ameamua kuyarudisha upya makalio yake na
haijawekwa wazi sababu iliyomfanya kuchukua uamuzi huo ndani ya mwezi
mmoja.
No comments:
Post a Comment