Pages

Pages - Menu

Monday, April 3, 2017

SHAMSA FORD KUMSOMEA AL-BADIL MWIZI WA ACCOUNT YAKE YA INSTA


Baada ya Shamsa Ford kuibiwa akaunti yake ya instagram sasa afunguka kwa kusema haya:
"Ikishindikana kabisa akaunti yangu kurudi kwa yule ambaye amenifanyia huo ujinga nitamshtakia Mwenyezi Mungu, mimi ni mtoto wa... kiislamu, nitasoma Al-badil ili Mwenyezi Mungu anijibu kwa hili"- Shamsa Ford

No comments:

Post a Comment