Wednesday, February 28, 2018
FEMI ONE ATAJA SABABU ZA KUACHIA WIMBO WA MKALI WAO
Rapper wa kike kutoka Kenya mwenye michano ya hatari, Femi One amefunguka sababu za kuachia wimbo wake mpya ambao amemshirikisha Mchizi Gaza, Mkali Wao.
Akiongea na Bongo5, msanii huyo amesema ameamua kuachia wimbo huo ili kuwapa vibe mashabiki wake na kuwaonyesha kuwa hajauacha muziki wa Hip Hop.
“Nilitaka kuwapa mashabiki wangu wa hip hop kitu na vibe ya muziki wa zamani wa Hip Hop na kuwaambia kuwa sijaacha Hip Hop,” amesema Femi.
Tazama Video ya wimbo huo hapa chini.
Watch Here
MTO NILE WAMFANYA MSANI MAARUFU NCHINI MISRI KUTUPWA JELA
Mwimbaji wa Misri Sherine Abdel Wahab amehukumiwa miezi sita gerezani kwa kutania juu ya hali ya usafi wa mto Nile.
Sherine, ni mmoja wa waimbaji maarufu nchini humo pia ni jaji katika kipindi cha mashindano ya waimbaji, The Voice- alimwambia mashabiki wake kuwa kunywa maji kutoka mto huo kunaweza kumpatia...
Sherine, ni mmoja wa waimbaji maarufu nchini humo pia ni jaji katika kipindi cha mashindano ya waimbaji, The Voice- alimwambia mashabiki wake kuwa kunywa maji kutoka mto huo kunaweza kumpatia...
Labels:
HABARI & UDAKU
MASHABIKI WAMLILIA ZARI AMSAMEHE DIAMOND PLATNUMZ
Wakati rais wa WCB, Diamond Platnumz akiwa busy na maandalizi ya uzinduzi wa Wasafi Redio na Wasafi TV, mashabiki wa muimbaji huyo bado wanaendelea kumbembeleza aliyekuwa mama watoto wa muimbaji huyo, Zari The Bosslady arudishe moyo nyuma.
Mfanyabiashara huyo wa kike machachari Afrika Mashariki alimuacha baba watoto wake, Diamond kwa madai amekuwa ni mwanaume ambaye amekuwa...
Labels:
HABARI & UDAKU
LINAH AWEKA WAZI IDADI YA WANAUME ALIOTEMBEANAO MPAKA KUOLEWA
Msanii Linah Sanga ambaye sasa anafanya vyema na wimbo wake wa 'Same
boy' akiwa ameshirikiana na msanii Recho amefunguka na kuweka wazi idadi
ya wanaume ambao ametembea nao na kufaidi penzi lake.
Linah Sanga akiwa kwenye kipindi cha KIKAANGONI kinachorushwa live kupitia ukurasa wa Facebook wa EATV amesema kuwa toka amekuwa Linah na watu kumtambua kama msanii ametoka jumla ya wanaume...
Linah Sanga akiwa kwenye kipindi cha KIKAANGONI kinachorushwa live kupitia ukurasa wa Facebook wa EATV amesema kuwa toka amekuwa Linah na watu kumtambua kama msanii ametoka jumla ya wanaume...
Labels:
HABARI & UDAKU
WAJAWAZITO WATUMIA VIDONGE KUWACHUBUA WATOTO TUMBONI
Wanawake nchini Ghana wameonywa kutotumia dawa za kujichubua
ilikubadilisha ngozi ya watoto kuwa nyeupe wakati bado wako tumboni kwa
kutahadharishwa kuwa dawa hizo haramu zinapelekea madhara ya uzazi
ikiwemo viungo vya ndani vya mtoto kuharibika.
Mamlaka ya Vyakula na Dawa Ghana (FDA) imesema utumiaji ya vidonge hivyo vijulikanavyo kama 'Glutathione' ni hatari na kwamba...
Mamlaka ya Vyakula na Dawa Ghana (FDA) imesema utumiaji ya vidonge hivyo vijulikanavyo kama 'Glutathione' ni hatari na kwamba...
Labels:
HABARI & UDAKU
S2KIZZY: QUICK ROCKA HANIPANGII CHA KUFANYA ANASIKILIZA NINACHO MWAMBIA
S2kizzy amemuelezea Boss wake Quick Rocka kama mtu mwelewa na amemkabidhi studio kwahiyo akienda anaenda kama msanii na sio boss pamoja na hilo...
Labels:
HABARI & UDAKU
NYIMBO 13 ZA BONGO FLEVA ZAFUNGIWA KUPIGWA NCHINI NA TCRA
Taarifa iliyotolewa na Mamlaka hiyo inaeleza kuwa ilipokea orodha ya nyimbo hizo kutoka kwa Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA) ambalo limeeleza kua nyimbo hizo ni...
Labels:
HABARI & UDAKU
KAMANDA WA POLISI KIGOMA ATHIBITISHA AJALI YA TRENI KUTOKEA
Ajali hiyo imesababishwa na kichwa cha treni kuacha njia na kusababisha mabehewa mawili kuanguka katika dimbwi dogo la maji, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kigoma, Martin Othieno amesema...
Labels:
HABARI & UDAKU
JUX AIBUKA NA MAVAZI YA MIAKA YA 80 MPAKA 90
Katika kundi la Mastaa bongo Jux ni mmoja kati ya wasanii wanaopenda kwenda na fashion katika kupangilia mavazi yao kulingana na sehemu husika na upenda kwenda na fashion na sasa inaonekana wanavutiwa zaidi na...
Labels:
HABARI & UDAKU
USAIN BOLT ATAJWA KUPIGA KABUMBU OLD TRAFFORD MWEZI JUNI MWAKA HUU
Hii ni Good News kwa mashabiki wa Bingwa wa Olimpiki Duniani Usain Bolt hatimaye atapata nafasi ya kuchezea soka katika uwanja wa Manchester United wa Old Trafford.
Labels:
HABARI & UDAKU
MIMI MARS: SITAMANI NDIYO WIMBO ULIONIUMIZA KICHWA TANGU NIANZE MUZIKI
Msanii wa muziki Bongo, Mimi Mars amesema ngoma yake ‘Sitamani’ ndio ngoma iliyompa changamoto katika kurekodi tangu alipoanza muziki, Muimbaji huyo ameeleza kuwa katika ngoma hiyo alilazimika kuimba kwa sauti ya juu zaidi tofauti na ngoma zake za awali.
“Katika ngoma zangu tatu ambazo nimezitoa, ngoma iliyonipa stress au ugumu zaidi ni Sitamani kwa sababu ilibidi nipangilie sauti yangu katika kiwango cha juu zaidi kuliko...
Labels:
HABARI & UDAKU
Tuesday, February 27, 2018
LINAH: MASHABIKI NIITENI LINAH MSINIITE MAMA TRACE
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Linah Sanga a.k.a Ndege Mnana amesisitiza kuwa licha ya kuwa na Mtoto anayeitwa Trace bado anapendelea kuitwa Linah badala ya Mama Tracey na Mashabiki wake hususani kwenye kazi
Akipiga story na Dizzim Online Staa huyo wa ngoma ya ‘Same Boy’ aliyoshirikiana na msanii mwenzie Recho amesema kuwa jina la Linah linamaana kubwa sana kwenye...
Labels:
HABARI & UDAKU
BILLNASS: VIDEO YA TAGI UBAVU IMEFANYIKA TANZANIA NA AFRIKA KUSINI
Msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka Tanzania, Bill Nass amezitaja location za video ya wimbo wake mpya iliyoongozwa na Director Hascana ‘Tagi Ubavu’ kwa kuzitofautisha mazingira ya vipande vya video vilivyoshootiwa Tanzania na nchini Afrika Kusini.
Akipiga Stori, Bill amesema kuwa walio wengi walidhani video nzima ya wimbo huo imeshootishwa nchini Tanzania hata kutofautisha mazingira ya video hiyo iliyoshootiwa jijini Dar es Salaam na mjini...
Labels:
HABARI & UDAKU
DIAMOND: WASAFI TV & RADIO HAVIPO KUSHINDANA NA MEDIA YOYOTE ILE
Msanii Diamond Platnumz amesema Wasafi FM na TV si kwa ajili ya mashindano na vyombo vingine vya habari, Akizungumza visiwani Zanzibar Diamond amesema vyombo hivyo ni kwa ajili ya kuondoa matabaka miongoni mwa wasanii na kukuuza muziki.
“Ninaomba watu waelewe kabisa hakipo katika kushindana na kitu chochote au kushinda na chombo chochote,” amesema Diamond. Diamond na timu yake ya Wasafi kwa sasa wapo visiwani Zanzibar kwa ajili ya kusaka...
Labels:
HABARI & UDAKU
HUDDAH MONROE AJAWA NA HOFU YA KUSHIKA MIMBA
Mwanamitandao kutoka nchini Kenya, Huddah Monroe ameanza kujawa na hofu ya kuwa amenasa mimba. Wasiwasi wa mrembo huyo umekuja baada ya kujiona kila akifanya manunuzi basi lazima atamani anunue nguo za mtoto.
Kupitia mtandao wa kijamii wa Snapchat mrembo huyo ameweka bayana hofu yake ya kushika mimba huku akijutia kitendo chake cha kuvunja amri ya sita na...
Labels:
HABARI & UDAKU
POLISI AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MAISHA BAADA YA KUPIGA RISASI WAANDAMANAJI
Mahakama kuu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, imemuhukumu kifungo cha maisha askari polisi aliyewafyatulia risasi waandamanaji wanaompinga rais wa nchi hiyo Joseph Kabila.
Polisi huyo ambaye aliwapiga risasi za moto waandamanaji wawili na kuwauwa papo hapo siku ya Jumapili Februari 25, 2018. aliibua hisia kali kwa raia wa Congo baada ya video yake...
Labels:
HABARI & UDAKU
VANESSA MDEE ATOA DILI KWA WATOTO WA KIKE KUPITIA VeePickMe
Msanii wa muziki Bongo, Vanessa Mdee ametoa mchongo kwa wasichana.
Muimbaji huyo wa ngoma Kisela kwa sasa ametangaza kutafuta madansa wa kike ambao anatarajia kuwatumia katika video yake mpya, wote ambao wana uwezo huo wanatakiwa kumtumia Vanessa clip zao za video kupitia...
Labels:
HABARI & UDAKU
KUWA REPORTER WA SMASHKILIMANJARO KWA KUTUHABARISHA JIUNGE HAPA
Kuwa mwanafamilia wa blog yetu ya smashkilimanjaro kwa kututumia info mbalimbali jiunge na kundi letu kupitia App ya Telegram kwaajiri ya kutupa habari.
Download Telegram kisha jiunge kama unavyo jiunga whatsapp kwa kuweka namba yako ya simu, Jina na Picha yako. Baada ya hapo utakuja hapa na kubofya neno Join hapo chini kisha utakuwa umejiunga na kundi letu la info. Telegram ipo salama zaidi kwani haioneshi namba ya mtu isipo kuwa jina tu la mtumiaji namba yako ya simu itabaki kuwa siri yako siyo kama ilivyo kwa whatsapp.
Join
Labels:
HABARI & UDAKU
MTOTO WA TATU WA KIM KARDASHIAN AWEKWA HADHARANI
Kupitia ukurasa wake wa instagram Kim Kardashian ameandika “Baby Chicago”
Mtoto wa tatu wa Kim Kardashian na rapper Kanye West ambaye ni Chicago alizaliwa mwezi uliopita kwa njia...
Labels:
HABARI & UDAKU
EDU BOY: DOGO JANJA HAJAOA ILA AMEOLEWA
Akiongea amesema kinachomsumbua Dogo Janja ni kwamba ameolewa na hajaoa, huenda baada ya yeye kufunga ndoa anahisi kwamba kila kitu kipo sawa kwake na kuwaona wasanii wenzake...
Labels:
HABARI & UDAKU
NILICHO KIIMBA KWENYE UPOFU KILINITOKEA KWA MZAZI MWENZANGU
Msanii wa Bongofleva Nuh Mziwanda amekiri kushindwa kuwa na kifua cha
kuficha mambo yake ya ndani na ndo maana imekuwa rahisi kwake kuandika
nyimbo zinazohusiana na historia yake ya kweli.
Akiongea na eNEWZ Nuh amesema kwamba ''Si mara ya kwanza kuimba juu ya mahusiano yangu yaliyopita ukiacha wimbo wa Jike Shupa na sasa nimeimba wimbo mwingine unaoitwa 'Upofu' ambao ndani ya wimbo huo nimeimba...
Akiongea na eNEWZ Nuh amesema kwamba ''Si mara ya kwanza kuimba juu ya mahusiano yangu yaliyopita ukiacha wimbo wa Jike Shupa na sasa nimeimba wimbo mwingine unaoitwa 'Upofu' ambao ndani ya wimbo huo nimeimba...
Labels:
HABARI & UDAKU
EDU BOY: STAMINA HANA UWEZO WA KUNIPIGA
Msanii Edu Boy amedai kuna taarifa kuwa Stamina anamtafuta ili kumpiga baada ya kumchana kwenye ngoma yake ‘Tunasafisha’ ila ni kitu ambacho hakimuumizi kichwa.
Rapper huyo amefunguka kuwa haishi kwa sheria za mtu yeyote na iwepo Stamina anamtafuta yeye sehemu yoyote...
Labels:
HABARI & UDAKU
MADEE AZUNGUMZIA UJIO WA NGOMA MPYA YA WASANII WOTE WA TIP-TOP
Msanii Madee amefunguka kuhusu ujio wa ngoma ya pamoja ya kundi la Tip Top Connection, Hitmaker huyo wa ngoma ‘Sema’ ameiambia Bongo5 kuwa kwa sasa bado hakuna mpango wa kutoa ngoma ya pamoja ila ni kitu ambacho kinaweza kujakutokea.
“Bado kabisa, hatuja-plan hivyo, hakuna ugumu wowote ila ni kitu ambacho bado hatujapanga ila ikitoka itajumuisha...
Labels:
HABARI & UDAKU
RAISI WA ZAMANI WA KOREA KUSINI AKABILIWA NA KIFUNGO CHA MIAKA 30
Ofisi ya mwendesha mashitaka wa Korea Kusini imeomba kifungo cha miaka thelathini dhidi ya rais wa zamani wa nchi hiyo Park Geun-hye, ambaye alitimuliwa mamlakani mwaka jana baada ya kushtumiwa kutumia vibaya wadhifa wake na kusababisha mdororo wa uchumi.
Park mwenye umri wa miaka 66,
aliyeng'atuliwa madarakani mnano mwezi Machi 2017, anashtumiwa na
rushwa, matumizi mabaya ya madaraka na ushawishi kutumia...
Labels:
HABARI & UDAKU
ALIKIBA KUFUNGA NDOA IJUMAA HII NA RAIA WA KENYA
Orodha ya wasanii wanaotoka katika kundi la ukapera inazidi kupungua kila kukicha – Alikiba anadaiwa kutaka kufuata nyayo hizo.
Msanii huyo ametajwa kutaka kufunga ndoa na mrembo huyo aliyefahamika kwa jina la Amina kutoka mjini Mombasa nchini Kenya, Ijumaa ya wiki hii. Kwa mujibu wa chazo chetu kimesema kuwa...
Labels:
HABARI & UDAKU
BOW WOW ASIMULIA NAMNA P-DIDDY ALIVYO MRUDISHA KWENYE MZIKI HIVI SASA
Msanii wa muziki kutoka Marekani, Bow Wow amedai kuwa rapper P-Diddy alitaka arudi kwenye game ya muziki kwani anaweza. Bow Wow amesema hayo wakati alipokuwa akifanyiwa mahojiano na kituo cha Hot 97 hivi karibuni baada ya kuachia ngoma yake ya ‘Yeahh’.
“I remember, probably after I left y’all, I went to L.A., it was me and Puff. I went to Puff’s house,ameeleza msanii huo pia akaongeza “Look at me, bro. You a f—ing legend, bro. Cut the...
Monday, February 26, 2018
SWALA LA DAVIDO KWENDA MBINGUNI MASHABIKI WALIJIA JUU
Baada ya maneno hayo kutoka kwa staa huyo mashabiki walionekana kubaki njia panda kwa kile ambacho Davido amekiandika kupitia account yake ya twitter na wengi kuhusisha maneno hayo kuwa...
Labels:
HABARI & UDAKU
WIZKID ATAMANI KUFUNGA NDOA KTK FUKWE ZA TANZANIA
Tweet hiyo imesambaa katika mitandao ya kijamii na wengi kujiuliza ni kweli Wizkid anatamani kufunga ndoa Tanzania nini...
Labels:
HABARI & UDAKU
VANESSA: NAZUNGUMZA NA WEASEL KILA SIKU NA TUNAJIANDAA KUFANYA KITU
Msanii wa muziki Bongo, Vanessa Mdee amesema kuna kitu atafanya na msanii wa Uganda, Weasel mara baada ya kifo cha Mowzey Radio aliyekuwa akiunda kundi la GoodLyfe na Weasel, Muimbaji huyo wa ngoma ‘Kisela’ ameiambia Planet Bongo ya EA Radio kuwa kabla ya kifo cha Mowzey Radio kuna video ilikuwa waka-shoot kitu ambacho kilishindikana.
“Before amefariki Radio tulikuwa tunaenda ku-shoot, tulikuwa na script kila kitu tayari, in fact nilikuwa nimeshaweka deposit ya video lakini...
Labels:
HABARI & UDAKU
ROSA REE AFUNGUKA NAMNA ANAVYO SHAWISHIWA NA KHALIGRAPH JONES
Msanii
wa muziki Bongo, Rosa Ree amefunguka jinsi anavyovutiwa na uwezo wa
kimuziki wa rapper kutoka nchini Kenya, Khaligraph Jones.
Rapper
huyo ameiambia Bongo5 kuwa amekuwa karibu na Khaligraph Jones kutokana
anamshawishi...
Labels:
HABARI & UDAKU
SNURA AAMUA KUMUANIKA HADHARANI MPENZI WAKE MPYA
Msanii wa bongo fleva, Snura Mushi maarufu kama Malkia wa uswazi
amefunguka kwa mara nyingine na kudai yeye hana roho ya ubinafsi kama
walivyo watu wengine kwenye kutoa msaada kwa watu ambao wanahitaji
kufikia malengo yao waliyojiwekea.
Snura ametoa msimamo wake huo katika ukurasa wake maalumu wa kijamii baada ya watu kuendelea kutoa maneno yao kuhusiana na picha iliyosambaa mitandaoni ikimuonesha ana-kiss na mvulana aliyetambulika kwa jina la...
Snura ametoa msimamo wake huo katika ukurasa wake maalumu wa kijamii baada ya watu kuendelea kutoa maneno yao kuhusiana na picha iliyosambaa mitandaoni ikimuonesha ana-kiss na mvulana aliyetambulika kwa jina la...
Labels:
HABARI & UDAKU
JOKATE ATOA MCHONGO KWA VIJANA WA KITANZANIA
Mwanamitindo Jokate Mwegelo amefunguka na kuitaka jamii ya kitanzania
na wengineo kuacha tabia ya kukata tamaa katika mambo wanayopanga
kuyafanya kwani kitendo hicho kinaweza kupelekea kuumiza walioko nyuma
yao bila ya wao kutegemea.
Jokate ametoa ushauri huo baada ya kuonekana dibwi kubwa la vijana wa leo kushindwa kufanya biashara au jambo lolote kwa kuhofia kuchekwa na marafiki wanaomzunguka na kupelekea...
Jokate ametoa ushauri huo baada ya kuonekana dibwi kubwa la vijana wa leo kushindwa kufanya biashara au jambo lolote kwa kuhofia kuchekwa na marafiki wanaomzunguka na kupelekea...
Labels:
HABARI & UDAKU
WEMA AFURAHIA KURUDISHWA INSTAGRAM BAADA YA MWEZI MMOJA
Muigizaji wa filamu mwenye nyota yake bongo na Afrika Mashariki Wema
Sepetu, amefunguka na kusema amejisikia vizuri na furaha kwa yeye kurudi
kwa mara nyingine katika mitandao ya kijamii.
Wema amebainisha hayo asubuhi ya leo baada ya kukabidhiwa ukurasa wake wa kijamii instagram na watu waliokuwa wanamhangaikia kuupata tokea waharifu kuuiba kwa takribani...
Wema amebainisha hayo asubuhi ya leo baada ya kukabidhiwa ukurasa wake wa kijamii instagram na watu waliokuwa wanamhangaikia kuupata tokea waharifu kuuiba kwa takribani...
Labels:
HABARI & UDAKU
Saturday, February 24, 2018
POLISI NI WAKATI GANI WA KUTUMIA RISASI ZA MOTO KWA WAANDAMANAJI?
Kisa cha mwanafunzi mmoja wa chuo
kikuu nchini Tanzania kuuwawa kwa risasi wakati polisi ya nchi hiyo
ilipokuwa ikitawanya kile walichokiita mkutano usio halali wa wafuasi wa
upinzani kimeibua maswali na hisia kali miongoni mwa umma juu ya
kiwango cha nguvu ambacho polisi hutumia wanapokabiliano na
waandamanaji.
Labels:
HABARI & UDAKU
Friday, February 23, 2018
MCHUMBA WA MO MUSIC AOLEWA NA NA MTU MWINGINE BAADA YA MO KULIPA MAHARI
Msanii wa Bongo fleva Moshi katemi jina lakisanii Mo Music, anaetamba na wimbo wake wa Bajaji, amejikuta akiwa kwenye msongo wa mawazo baada ya mwanamke aliye kusudia kumuoa aitwaye Iptisam kuolewa na mtu mwengine.
Kwa mujibu wa chanzo chetu kilichopo karibu na msanii huyo, Mo Music alikuwa ameshatoa posa hadi mahari lakini tatizo likawa kwenye...
Labels:
HABARI & UDAKU
Subscribe to:
Posts (Atom)