Wakati msanii wa muziki, Maua Sama pamoja na mtangazaji wa kipindi
cha Shilawadu, Soudy Brown wakiendelea kusota rumande huku wasanii wengi
wa kionekana kuwa kimya, Alhamisi hii muigizaji Steve Nyerere ameibuka
na kuamua kulizungumzia sakata hilo.
Steve ameomba wadau hao wa sanaa kuachiwa halafu waje kuomba msamaha kwa wananchi kwa...
Mange
Kimambi ndiye alianza kumchokonoa Wema Sepetu kwa kumuita ‘NYUMBU’ na
kumwambia kuwa ni mnafiki kwani ukaribu wake na Diamond Platnumz ndiyo
unaomfanya amdhalilishe, Hamisa Mobetto kwa kumuita mchawi.
Sakata
hilo la Mobetto kuandamwa na familia nzima ya Diamond Platnumz akiwemo
Wema Sepetu kuwa ni mchawi, limekuja baada ya Voice Note inayodhaniwa
kuwa ni ya Mobetto kuvuja mtandaoni ikisikika akiongea na mganga wa
kienyeji akitaka kumroga Diamond ili arudishe...
Rappa Kanye West ajishusha na kumuomba Drake msamaha kupitia ukurasa wake wa twitter hii ni baada ya diss aliyoitoa Drake kwenye ngoma aliyoshirikishwa na French Montana .
Kupitia msamaha huo aliouomba Kanye amegusia vitu vingi ambavyo vilisababisha kuwepo na tofauti kati yao ikiwemo ishu ya kuingilia mwezi ambao Drake alitakiwa kutoa album yake ya ‘Scorpion’ mwezi June na yeye ndipo...