Mwanamuziki Ali Kiba amefiwa na baba yake Saleh Kiba leo katika Hospitali ya Muhimbili alipokuwa amelazwa kwa takribani siku 21. Akithibisha
taarifa ya kifo hicho, Abdu Kiba ambaye ni mdogo wa Ali Kiba alisema ni
kweli baba yao amefariki na msiba upo nyumbani kwao Kariakoo Mtaa wa
Muheza.
Kwa mazishi yamefanyika leo hii saa... 10 jioni katika makaburi ya Kisutu
jijini Dar es salaam.
Ofisa Uhusiano wa Hospitali ya Taifa ya
Muhimbili (MNH), Neema Mwangomo amesema Mzee Saleh, alifikwa na mauti
leo saa 12:05 katika hospitali hiyo.
Neema alibainisha kwamba baba huyo alifikishwa hospitalini hapo tangu Desemba 27 mwaka jana.
1 comments:
Anonymous
said...
Baba Mzazi Wa Alikiba Azikwa Makaburi Ya Kisutu >>>>> Download Now
1 comments:
Baba Mzazi Wa Alikiba Azikwa Makaburi Ya Kisutu >>>>> Download Now
>>>>> Download Full
Baba Mzazi Wa Alikiba Azikwa Makaburi Ya Kisutu >>>>> Download LINK
>>>>> Download Now
Baba Mzazi Wa Alikiba Azikwa Makaburi Ya Kisutu >>>>> Download Full
>>>>> Download LINK eA
Post a Comment