Pages

Subscribe:

Sunday, May 3, 2015

WOLPER ANASWA AKIWA NA KIGOGO

Achilia mbali akina pedeshee Mangi, Dallas na Gee Modal, kigogo mpya wa staa wa Bongo Movies, Jacqueline Wolper Massawe safari hii amenaswa laivu wakijiachia kwa raha zao. Kwa mujibu wa chanzo,kigogo huyo ni mtu mwenye fedha zake aitwaye Jimmy...

Saturday, May 2, 2015

BAADA YA DIAMOND NA ZARI, WEMA NAYE ATANGAZA PARTY

Yakiwa yamebakia masaa machache tu ile party iliokua ikisubiriwa kwa hamu Zari All White party kufanyika jijini Dar. Pati ambayo imeandaliwa na Zari aka Mrs Chibu Dangote pamoja na mpenzi wa zamani wa Wema Sepetu bwana Diamond Platnumz aka Chibu Dangote. Madam Wema Sepetu nae akaona alipize kisasi kwa kwenda kufaya party yake jijini...

NAY: SHAMSA AKITULIA NAFUNGA NAYE NDOA KASIBA

Staa wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’, ameeleza kuwa endapo staa wa Bongo Movies, Shamsa Ford ambaye sasa hivi wanapika na kupakua, atamuonesha utulivu na uaminifu hataona sababu ya kutomuoa. Nay aliyasema hayo juzikati alipokuwa akizungumzia mipango yake na Shamsa ambaye amejiweka kwake baada ya...

DIAMOND AMVISHA ZARI PETE YA UCHUMBA

STAA wa Bongo Fleva nchini, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' amefunguka kuwa tayari amemvalisha pete ya uchumba mpenzi wake Zarinah Hassan 'Zari' na anatarajia kupata mtoto wa kike mwaka huu. Diamond aliyaongea hayo hivi punde katika Exclusive One on One Interview ya...

BABA WA DIAMONA ASUMBULIWA NA UGONJWA... LAWAMA ZAMSHUKIA DIAMOND

Kwa Mujibu wa chombo kimoja cha habari inasemekana Baba Mzazi wa Diamond, Mzee Abdul Juma Hali yake si nzuri kiafya kwani anasumbuliwa na Ugonjwa wa miguu kiasi cha kuwa ni mtu wa kulala tu hajiwezi. Baba huyo wa Diamond Amedai kuwa Mtoto wake Diamond...

Friday, May 1, 2015

Video: Young Killer ft Ommy Dimpoz, Linah & Roma_Baba Mungu (Official Video))


Watch Here

Download: Bonge La Nyau ft Barnaba_Vais Vesa


Download

Download: Kona King ft One Six_Umependeza


Download

AUNT EZEKIEL AWATEGA TEAM WEMA KWA KUTUPIAUJUMBE WA ALL WHITE PARTY


Aunt Ezekiel Awatega Team Wema, Kisa Ujumbe wa Zari-All White Party
Staa wa Bongo Movies, Aunt Ezekiel amewaacha njia panda mashabiki ‘kindaki ndaki’ wa Wema sepetu maarufu kama team Wema baada ya kuweka ‘screenshot’ ya ujumbe wa tangazo la pati ya mwanadada Zari inayofahamika kama Zari All While Party.
Aunt alibandika picha hiyo (hapo juu) na kuandika maneno haya kuonyesha kuwa...

WEMA SEPETU: NI KWELI NIMEOLEWA NA TAYARI NI MKE WA MTU

Staa wa filamu za Kibongo,Wema Sepetu amekiri kufunga ndoa bomani hivi karibuni ambayo ilihudhuliwa na watu wachache. Akizungumza na Clouds FM alisema kuwa aliamua kufunga ndoa ya siri kwa kuogopa kupigwa 'juju' na mumewe angeshindwa kumuoa. ‘’Mume wangu ni Mtanzania na siyo maarufu na ndoa yangu ilihudhuliwa na...