Pages

Subscribe:

Wednesday, March 23, 2016

Download: Soggy Doggy ft J Deal_Namisi Kukabwa


Download

IBRA: NAMTAKA WEMA SEPETU KWA GHARAMA YOYOTE


WEMA8888
Nyota wa filamu Nchini Burundi na Rwanda Ibrahim Ismael ‘Ic’u Ibrah’ amefunguka kwa kusema kuwa moja kati ya ndoto zake ni kuigiza filamu moja kubwa na Madame Wema Sepetu kwani ni msanii anayeamini kuwa ni mwigizaji mzuri na anaweza kuigiza.
 
“Nashukru kwa mara ya kwanza kuigiza na actress kutoka Tanzania Shamsa Ford, lakini nitafurahi sana nitakapofanikiwa kuigiza na Wema Sepetu kwa gharama yoyote, anajua sana mimi ni kama...

JAYDEE AFUNGUKA KUHUSU MAHUSIANO YAKE

Msanii wa siku nyingi wa Bongo Fleva hapa nchini Judith Wambura a.k.a Lady Jaydee amewaomba watanzania wampende yeye kama yeye na si kumfuatilia kuhusu mahusiano yake kimapenzi.
Lady-Jaydee-life_0
Jaydee ameyasema hayo katika kipindi cha E News kinachorushwa na kituo cha EATV kila siku ya Jumatatu hadi Ijumaa baada ya mtangazaji Sam Misago kumuuliza swali kwamba kuna tetesi kwamba karudiana na mpenzi wake wa zamani Gadner.

”Watu wengi walinipenda kama nilivyo na hawakunipenda nikiwa na mtu yoyote, sipendi kuelezea mambo yangu binafsi nawaomba watanzania wanipende kama mimi kama Jaydee na...

DOGO JANJA AMJIBU YOUNG D BAADA YA KUONA MANENO YANAYO MHUSU BABU TALE INSTA

Headlines za mkali wa Hip Hop, Chid Benz bado hazikwisha kwenye mitandao ambapo leo March 22, 2016  Dogo Janja alipost kile ambacho hakupendezwa baada ya kuona maneo ya instagram ya Young Dee kuhusu Babu Tale na Chid Benz.
 
Young Dee aliandika:
Baada ya video kusambaza na kuanza kuchukua headlines ikiashiria Babu Tale amejitosa kumsaidia rapper huyo Young Dee aliandika haya kupitia ukurasa wake wa instagram‘‘Challenge kwako blaza hii ni aibu sidhani Kama...

FAIZA ALLY: ACHENI KUMWONEA HURUMA CHIDI ANAVUNA ALICHO KIPANDA

Katika ukurasa wake wa Instagram Faiza ameandika huku akiwapondea wale wanaomsikitikia, na kusema kuwa Chid amejichagulia mwenyewe kuwa hivyo kwani kabla hajaanza kutumia alikuwa anafahamu madhara yake.
Faiza ameandika:
“Kila mtu anamsikitikia Chidi kwa nini? Chidi sio mtoto ni maisha aliyo chagua, pengine unaweza kumsikitia mtoto aliye jifunza akiwa chini ya miaka 18 lakini...

LINAH AVUNJA UKIMYA AELEZA KUWA ANAMZIMIA WIZKID


wiz45
Msanii wa bongo fleva nchini Linah Sanga amefunguka na kusema kuwa alikuwa anatamani na bado anatamani sana kuwa na mahusiano ya kimapenzi na msanii Wizkid kutoka nchini Nigeria.
 
Akipiga stori kwenye kipindi cha eNEWS kinachorushwa na ting’a namba moja kwa vijana (EATV) Linah Sanga alisema kuwa toka kipindi cha nyuma alikuwa...

DIAMOND AVURUGA Sh. MIL 100 NJINI UJERUMANI

diamond809
Takriban Sh. milioni 100 ambazo Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ ameziteketeza akiwa na msururu mrefu wa wanafamilia wa Wasafi Classic Baby (WCB) barani Ulaya, akianzia nchini Ujerumani kufanya shoo sambamba na kula bata.

Diamond aliyeambatana na wanafamilia kama 14 wakiwemo Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’, mama yake mzazi, Sanura Kassim ‘Sandra’, Tiffah (mwanaye), Romy Jons (DJ wake), Kifesi (mpigapicha), meneja (Salam), mke wa Tale (meneja Tale), madansa wanne na dada mmoja ambaye...

Tuesday, March 22, 2016

Download: Izzo Bizness ft Barnaba, Shaa x Hance Puff_Usijiovadozi


Download

BAADA YA MISUKO SUKO YA MAPENZI DIVA KURUDI KWENYE MUZIKI NA CHID BENZ

Mtangazaji wa Clouds FM, Diva amesema Chidi Benz atamsaidia kuandika mashairi ya wimbo wake mpya alioupa jina ‘Kosa Langu.’ Kupitia Instagram, Diva amedai kuwa Mr Blue pia atahusika kwenye wimbo huo mpya unaovunja...

Download: Hamadai_Marioo


Download