Pages

Subscribe:

Monday, February 26, 2018

Download: Chege ft Saida Karoli_Kaitaba


Download

SNURA AAMUA KUMUANIKA HADHARANI MPENZI WAKE MPYA

Msanii wa bongo fleva, Snura Mushi maarufu kama Malkia wa uswazi amefunguka kwa mara nyingine na kudai yeye hana roho ya ubinafsi kama walivyo watu wengine kwenye kutoa msaada kwa watu ambao wanahitaji kufikia malengo yao waliyojiwekea.  

Snura ametoa msimamo wake huo katika ukurasa wake maalumu wa kijamii baada ya watu kuendelea kutoa maneno yao kuhusiana na picha iliyosambaa mitandaoni ikimuonesha ana-kiss na mvulana aliyetambulika kwa jina la...

Download: Enock Bella_Kurubembe



Download

JOKATE ATOA MCHONGO KWA VIJANA WA KITANZANIA

Mwanamitindo Jokate Mwegelo amefunguka na kuitaka jamii ya kitanzania na wengineo kuacha tabia ya kukata tamaa katika mambo wanayopanga kuyafanya kwani kitendo hicho kinaweza kupelekea kuumiza walioko nyuma yao bila ya wao kutegemea. 

Jokate ametoa ushauri huo baada ya kuonekana dibwi kubwa la vijana wa leo kushindwa kufanya biashara au jambo lolote kwa kuhofia kuchekwa na marafiki wanaomzunguka na kupelekea...

Watch & Download: Nuhu Mziwanda_Upofu (Official Video)


Watch Here

WEMA AFURAHIA KURUDISHWA INSTAGRAM BAADA YA MWEZI MMOJA

Muigizaji wa filamu mwenye nyota yake bongo na Afrika Mashariki Wema Sepetu, amefunguka na kusema amejisikia vizuri na furaha kwa yeye kurudi kwa mara nyingine katika mitandao ya kijamii. 

Wema amebainisha hayo asubuhi ya leo baada ya kukabidhiwa ukurasa wake wa kijamii instagram na watu waliokuwa wanamhangaikia kuupata tokea waharifu kuuiba kwa takribani...

Saturday, February 24, 2018

Watch & Dwnload: Octopizzo ft Nitasha Randhawa_Past (Official Video)


Watch Here

Watch & Download: Dayna Nyange_Sale Sale (Official Video)


Watch Here

POLISI NI WAKATI GANI WA KUTUMIA RISASI ZA MOTO KWA WAANDAMANAJI?

Maandamano Nairobi
Kisa cha mwanafunzi mmoja wa chuo kikuu nchini Tanzania kuuwawa kwa risasi wakati polisi ya nchi hiyo ilipokuwa ikitawanya kile walichokiita mkutano usio halali wa wafuasi wa upinzani kimeibua maswali na hisia kali miongoni mwa umma juu ya kiwango cha nguvu ambacho polisi hutumia wanapokabiliano na waandamanaji.

Maelezo ya kifo cha msichana huyo yamedai hakulengwa moja kwa moja kwa sababu hakuwa sehemu ya waandamanaji wala kitisho kwa usalama, Lakini polisi wameshutumiwa kwa kutumia risasi za moto zilizosababusha kifo chake. Polisi wenyewe wanasema...

Friday, February 23, 2018

MCHUMBA WA MO MUSIC AOLEWA NA NA MTU MWINGINE BAADA YA MO KULIPA MAHARI

mo
Msanii wa Bongo fleva Moshi katemi jina lakisanii Mo Music, anaetamba na wimbo wake wa Bajaji, amejikuta akiwa kwenye msongo wa mawazo baada ya mwanamke aliye kusudia kumuoa aitwaye Iptisam kuolewa na mtu mwengine.

Kwa mujibu wa chanzo chetu kilichopo karibu na msanii huyo, Mo Music alikuwa ameshatoa posa hadi mahari lakini tatizo likawa kwenye...