Matonya amefunguka kuhusu tuhuma zilizosambaa kuwa amekamatwa na Madawa
ya Kulevya nchini China akisisitiza kuwa sio kweli na wala yeye
hajawahi kujihusisha na biashara hiyo kwenye maisha yake.
Mkali huyo wa Bongofleva amesema taarifa hizo zilimkwamisha sana kwenye mipango yake mingi pamoja na mama yake kuumizwa nazo kiasi cha kumpigia simu na...
Mkali huyo wa Bongofleva amesema taarifa hizo zilimkwamisha sana kwenye mipango yake mingi pamoja na mama yake kuumizwa nazo kiasi cha kumpigia simu na...

Follow on Instagram