
Friday, March 2, 2018
ROMA AFUNGIWA KUFANYA MUZIKI KWA MIEZI 6
Msanii wa muziki wa Hip Hop bongo Roma Mkatoliki amefungiwa kufanya
shughuli za muziki kwa muda wa miezi sita kwa kile kilichodaiwa msanii
huyo kudharua wito wa BASATA na Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa
na Michezo.
Akiongea na waandishi wa habari Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe Juliana Shonza amesema kuwa amechukua maamuzi hayo kutokana na kumwita msanii huyo ili aweze kufika kwenye mkutano huo lakini...
Akiongea na waandishi wa habari Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe Juliana Shonza amesema kuwa amechukua maamuzi hayo kutokana na kumwita msanii huyo ili aweze kufika kwenye mkutano huo lakini...
Labels:
HABARI & UDAKU
WANASAYANSI WAGUNDUA ROBOT YA KUTENGENEZA THAMANI ZA NDANI
Timu ya watafiti kutoka Taasisi ya Teknolojia ya Massachusetts’ (MIT) wameongeza uwezo huo wa robot kufanya kazi ya kutengeneza samani, sio kwa maana ya mafundi seremala bali kuwafanya...
Labels:
HABARI & UDAKU
MTOTO WA AJABU AZALIWA NCHINI UINGEREZA
Kutokana na ugonjwa huo madaktari walimwambia kuwa hawezi tena kushika ujauzito na kuzaa mtoto, na kwamba nafasi yake ya kuzaa ni asilimia 1 tu, lakini cha kushangaza ni kwamba...
Labels:
HABARI & UDAKU
DIAMOND PLATNUMZ KUSHIRIKI KTK WIMBO MAALUM WA KOMBE LA DUNIA
Msanii wa muziki Bongo, Diamond Platnumz anatarajiwa kushiriki katika wimbo maalumu wa Kombe la Dunia. Wimbo huo utakuwa unawakilisha bara la Afrika.
Wimbo huo ambao umedhaminiwa na kampuni ya vinywaji baridi ya Coca-Cola, Diamond atashirikiana na wasanii wengine kama Sami Dani kutoka Ethiopia, Ykee Benda kutoka Uganda na...
Labels:
HABARI & UDAKU
RAY ATOA SOMO KWA WANAOOGOPA KUNYONYESHA KISA MAZIWA YATALALA
Msanii wa filamu Bongo, Ray Kigosi ametoa somo zito kwa wadada wanaonyonyesha watoto.
Muigizaji huyo amesema amekuwa akipokea jumbe nyingi kutoka kwa watu mbali mbali zikimtaka kueleza siri ya mtoto wake na Chuchu Hansy, Jaden kukua haraka na kuonekana mchangamfu. Kupitia ukurasa wake wa Instagram Ray amekuwa na haya ya kusema...
Labels:
HABARI & UDAKU
SIMBA AKAMATIKA UWANJA WA MCHINA AAMBULIA SARE
Kikosi cha timu ya Simba kimelazimishwa sare ya bao 3 – 3 dhidi ya timu ya Stand United mchezo wa ligi kuu soka Tanzania uliyopigwa uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Waliyo funga mabao kwa upande wa kikosi cha Simba ni Asante Kwasi, Nicolas Gyan na Laudit Mavugo wakati kwa upande wa Stand United wakiwa ni...
Labels:
HABARI & UDAKU
NAY WA MITEGO KUACHIA MIKONO JUU RMX BAADA YA NGOMA ZAKE KUFUNGIWA
Msanii wa muziki wa hip hop, Nay wa Mitego amewataka mashabiki wake wa muziki nchini kusubiria remix ya wimbo ‘Mikono Juu’ ambao umefungiwa na Naibu Waziri wa Habari, Juliana Shonza kwa kigezo cha maadili.
Rapa huyo mchana huu amewauliza mashabiki wake kama aachie remix ya wimbo huo au la!. “Unadhani Tuachie Goma Lingine Au Tuache #MikonoJuu Iindelee Au Tufanye Remix,” aliandika Nay wa Mitego kupitia...
Labels:
HABARI & UDAKU
P DIDDY APINDULIWA NA JAY Z KTK NAFASI YA KWANZA KUWA MSANII MWENYE PESA ZAIDI
Vitu vilivyomuingizia Jay Z pesa ni pamoja Tidal, mauzo ya Album, ziara zake za muziki, label ya Roc Nation, Roc Nation Sports, na vinywaji vya...
Labels:
HABARI & UDAKU
Subscribe to:
Posts (Atom)




Follow on Instagram