Pages

Subscribe:

Friday, January 20, 2017

MANUKATO YA DIAMOND KUINGIA SOKONI MUDA WOWOTE


Chibu Perfume za mkali wa wimbo Salome, Diamond Platnumz zitaingia sokoni muda wowote kuanzia sasa kwa mujibu wa Sallam, meneja wa masanii huyo. Mwaka 2016 muimbaji huyo alionyesha sample ya perfume hizo hali ambayo ilileta shauku kumbwa kwa mshabiki wa muimbaji huyo.

Ijumaa hii meneja wa msanii huyo, kupitia ‘Insta Live’ amedai tayari mzigo wa perfume hizo umeshaingia mjini na utapatikana katika maduka mbalimbali nchini.
“Mzingo umeingia, utapatikana...

HAYA NDIYO MANENO 23 YA BEN POL JUU YA BILL NASS


Naamini umeshawahi kukutana na comments kadhaa za mastaa kumuhusu mkali wa muziki anaye kua kwa kasi sana  Bill Nass, ni kuhusu discipline, ukali wake katika game, utunzi wa mashairi yake na mengineyo kibaao.

Sasa mkali wa RnB na hitmaker wa ngoma ya Moyo mashine Benard Paul almaarufu kama Benpol ameamua kufunguka yamoyoni kuhusu mkali huyo. Ni kupitia kurasa yake ya twitter Benpol ameamua kuandika...

SALLAM SK: NI AY NDIYE ALIYE NIBAKISHA KWENYE TASNIA YA MUZIKI


Meneja wa WCB ya Diamond Platnumz ambaye pia ni meneja wa AY, Sallam SK aka ‘Fundi Mitambo’ amefunguka kwa kudai kuwa alitambulishwa na rapper AY kwenye tasnia ya burudani. Sallam ambaye ameonyesha uwezo mkubwa katika jukumu la kumsimamia Diamond, alikuwa akijihusisha na biashara ya magari bandarini.

“Ni AY ndiye aliyenibakisha kwenye tasnia ya Burudani nilikuwa zangu huko bandarini na shughuli zangu huko,” Sallam alikiambia kipindi cha XXL cha Clouds FM. Mapema mwaka 2016 Sallam alieleza furaha yake ya kufanya kazi na...

MWANA FA: MUZIKI WA GROUP ULISHA SHINDWA


Kama inavyoeleweka kuwa game ya music kwasasa ime-change tena kwa kiasi kikubwa sana, kiasi kwamba baadhi ya vitu vilivyo kiki zamani kushindwa kuchukua nafasi kwasasa.

Tume washuhudia mastaa kibao ambao waliumiza kinoma noma hapo awali lakini hali imekuwa ngumu kwa wao kurudi kwenye mstari kwasasa, kutokana na hali ya muziki jinsi ilivyo, muziki ambao...

NAY WA MITEGO AMSIHI RAYMOND AMWANDIKIE MADEE NYIMBO



Nay wa Mitego ameuweka uhasimu wake na Madee kwa kumuomba Raymond amsaidie rais huyo wa Manzese kumwandikia nyimbo. Nay alitoa ushauri huyo baada ya watangazaji wa kipindi cha Planet Bongo cha East Africa Radio, kumsikilizisha wimbo mpya wa Madee, Hela akiamini kuwa hauna kiwango cha kuridhisha.

“Nimeusikiliza, nimemuona Raymond anatakiwa kurudi sehemu kuwasaidia kaka zake,” alisema Nay. Kwa muda sasa Nay na Madee wamekuwa...

OMMY DIMPOZ AFUNGUKA JUU YA KAWEKWA NDANI NA JIMAMA

Msanii wa muziki wa bongo fleva Ommy Dimpoz amekanusha tetesi zilizozagaa kwamba amewekwa ndani kimapenzi maeneo ya mbezi  na jimama ambalo lina mahusiano naye kumapenzi.

Akiongea kupitia eNEWZ ya EATV, Ommy amesema kwa sasa anaishi Mikocheni Dar es Salaam na hajawahi kuwekwa ndani na mwanamke yeyote kwa kuwa anasema mpenzi wake wa sasa ni...

Watch & Download: Fid Q_Kemosabe (Official Video)


Whatch Here

DIAMOND PLANUMZ ATWAA TUZO HII NYINGINE NCHINI NIGERIA

MKALI wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz ameshinda tena tuzo za Too Exclusive zinazotolewa nchini Nigeria katika kipengele cha Msanii Bora wa Mwaka 2016 ambacho hutolewa kwa msanii asiyekuwa wa nchi hiyo (Nigeria) ambaye anafanya vizuri kwa bara zima la Afrika..

Katika tuzo hizo, wengine waliokuwa wakiwania vipengele mbalimbali ni  Wizkid, Tekno na Tiwa Savage, Kiss Daniel, Simi na...

HIZI HAPA NDIYO FAIDA TANO (5) ZA MAJNI YA MPELA MWILINI

Mapera ni matunda ya msimu yenye wingi wa vitamini A na C, madini ya potasiam, nyuzi nzuri ya fiber na ‘lycophene’ vyote hivi ni muhimu kwa afya ya binadamu.

Watu wengi hutumia tunda tu bila kujua kuwa si tunda pekee lenye manufaa kwa afya. Majani ya mpera ni mazuri kwa ajili ya ngozi, nywele na afya kwa ujumla, leo tuangazie faida ya majani hayo kwa...

MUME AMUUA MKE KISA KACHUMBARI

MKAZI wa mtaa wa Mageuzi, kata ya Ngokolo, manispaa ya Shinyanga, Ibrahimu Daniel (42) amemuua mke wake, kwa kushindwa kuhifadhi vizuri kachumbari na kupika mboga isiyo na kiwango.

Aidha mauaji hayo yaliyofanyika kwa kumporomoshea kipigo yalifanyika kwa kuwa alipika chakula kingine wakati kilichobaki mchana kilikuwepo.
Aliyeuawa ni Stella Ibrahimu (39) na alipigwa baada ya mumewe Daniel kurudi nyumbani na kuuliza kachumbari ambayo...