skip to main |
skip to sidebar
Unaweza
kua na ngozi laini sana kwenye uso wako au mwili kwako lakini
linapokuja swala la viwiko vya mikono/elbows au magoti case inakuta
tofauti sana sababu unakuta kunakua na weusi,roughness na hata kua na
vipele au unakuta pamebabuka/ngozi kutoka toka ,simply sio palaini.
Haya ni matatizo ya kila siku na wanawake
wengi ni swala linalotukumba wengi wetu.Wengine hadi kufikia kuficha
sehem hizi za mwili sababu zinawa aibisha au...
Producer ambaye kila siku anatoa hits hapa Bongo, Mr. T Touch amesema yale aliyofanikisha katika muziki ni machache ukilinganisha na kile alichodhamiria. Mr.
T amesema iwapo hadi sasa kama muziki umeshampatia faida anayostahili
hawezi kuwa na takwimu za moja kwa moja ila kuna kitu ambacho bado
anakihitaji.
“Mimi naona nimetimiza ndoto zangu kwa asilimia ndogo
kwa sababu vitu ambavyo naviwaza kuvitimiza ndani ya muziki naona ni...
Kocha wa Club ya Man City ya England Pep Guardiola amejikuta akiingia matatizoni na chama cha mpira cha England FA, baada ya kuonekana akisapoti jimbo la Catalonia la nchini Hispania kudai uhuru wake kuwa kama nchi uhuru.
Pep Guardiola ni miongoni mwa wahispaniola wanaounga mkono jimboa la Catalonia kujitenga na Hispania na kupata uhuru kama nchi lakini baada ya kuonekana Pep Guardiola katika baadhi ya mechi zake ameonekana akivaa...
Kuna magonjwa mengi duniani na
mengine mapya huibuka kila siku huku mengine yakipatiwa tiba na mengine
tiba zake zikiendelea kutafutwa na wataalamu wa afya.
Inawezekana wewe
ni moja kati ya wengi ambao hawajawahi kusikia ugonjwa wa kutokwa
Machozi ya Damu, Wataalamu wanasema kuwa kupitia
uchunguzi walioufanya wamegundua kuwa ugonjwa huu unatokana na...
Kuna msemo unasema kila katika mafanikio ya mwanaume basi jua nyuma yake kuna mwanamke imara, leo naomba nikusogezee TOP list ya mastaa wa Bongofleva ambao wameamua kuweka wazi mahusiano yao.
Mastaa wa muziki wa Bongofleva wapo wengi katika
mahusiano ya kimapenzi lakini sio kila mmoja ameamua kuyaweka wazi
mahusiano yake, ukiachilia mbali wasanii ambao tunafahamu kuwa wameoa,
hii ndio TOP list ya mastaa wa Bongo ambao...