
Saturday, March 17, 2018
Wednesday, March 14, 2018
DOGO JANJA: UWOYA NDIYE ALIANZA KUNIVISHA VITU VYA KIKE NA KINIPAKAA MAKE UP
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Dogo janja ambaye sasa hivi ameachia
video ya wimbo wake mpya wa 'Wayu wayu' na kuacha gumzo kwa mashabiki
kwa kuvaa uhusika wa mwanamke, na kusema kuwa mke wake ndiye alimfanya
awe hivyo.
Akizungumza, Dogo Janja amesema mke wake ambaye ni muigizaji wa filamu za bongo, Irene Uwoya, ndiye alianza kumfanyia make up wakiwa mapumzikoni Zanzibar, na kumvalisha vitu vya kike, ndipo...
Akizungumza, Dogo Janja amesema mke wake ambaye ni muigizaji wa filamu za bongo, Irene Uwoya, ndiye alianza kumfanyia make up wakiwa mapumzikoni Zanzibar, na kumvalisha vitu vya kike, ndipo...
Labels:
HABARI & UDAKU
DAVIDO AMKUMBUKA RAFIKI YAKE ALIYE DAIWA KUMUUA
Siku ya jana msanii wa muziki Davido ametumia mtandao wa kijamii wa Instagram kufanya kumbumbu ya Tagbo Umeike ambaye ni rafiki yake.
Mkali huyo ambaye kwa sasa ana tour ya ’30 Billions Africa’ ametumia mtandao huo upande wa Instastory kumkumbuka swahiba wake huyo aliyefariki...
Labels:
HABARI & UDAKU
SHAMSA: MAHUSIANO YA MASTAA HUWA HAYADUMU SABABU HUWA WANALETA USTAA
Msanii wa Filamu Bongo, Shamsa Ford amefunguka sababu ya baadhi ya mstaa hasa wa kike kutodumu katika mahusiano.
Muigizaji huyo amesema mahusiano ya watu maarufu hayadumu kutokana wanaingiza umaarufu wao katika mahusiano yao. Kupitia ukurasa wake Instagram Shamsa ameandika; “Nimegundua mahusiano mengi ya watu maarufu hayadumu kwa sababu...
Labels:
HABARI & UDAKU
Subscribe to:
Posts (Atom)









Follow on Instagram