
Tangu afariki Paul walker Fast & Farious ambayo ilitangazwa kutoka mwaka jana ilihairishwa kutokana sa sababu zilizo kuwa nje ya uwezo wa management yao kwa ujumla lakini sasa ifikapo tarehe 3 March mwaka huu movie ya Fast & Farious 7 itaachiliwa rasmi kkaa tayari siku 13 zimesalia.



Follow on Instagram
0 comments:
Post a Comment