skip to main |
skip to sidebar
NAHREEL: WASANII WAKUBWA AFRICA KAMA 2FACE, P-SQUARE, DONJAZZ WOTE WAMEIKUBALI GAME
Producer na member wa kundi la “Navy Kenzo” Nahreel amesema
wasanii wakubwa wa Afrika wameikubali track yao ambayo inafanya vizuri
kwasasa ‘Game’. Wakati anazungumza Nahreel alisema track
yao ya ‘Game’ waliyomshirikisha Vanessa Mdee imewatambulisha zaidi
kwenye soko la kimtaifa , amesema wamekua wakipokea Comment za wasanii
wakubwa Afrika kama...
Don Jaz, 2face idibia , Psqaure na Patoranking
wakiisifia track yao.
0 comments:
Post a Comment