
Baada ya Ray Kigosi kuweka wazi kuwa anakunywa sana maji ndio maana anakuwa mweupe, Godzilla pamoja na mashabiki mbalimbali katika mitandao ya kijamii wamenza kufanya zoezi hilo kwa kuwahamasisha watu kunywa maji ili na wao wapate upako huo. Tazama picha hapa ndani...






Follow on Instagram
1 comments:
safiii tearm water baby
Post a Comment