
Mwana muziki (Mtunzi na Mwimbaji) kutoka nchini Uingereza Adele Laurie Blue Adkins aliye zaliwa 5 May 1988 Tottenham, London, England, Tangu aanze muziki Adele amefanikiwa kushinda Tuzo 105 kati ya Tuzo 211alizo wahi kutajwa kushindania (Kuwa Nominated).



Follow on Instagram
0 comments:
Post a Comment