
Ben amesema: “Kusema ukweli nahisi bado,”. “Unajua mpaka uanze kutembea na mtu kwenye public mpaka ujiridhishe vitu fulani fulani na labda muwe kuna... hatua fulani mmefika. Uchumba nini ndoa, sio unatembea na mtu na kumuonyesha kumbe mna migogoro. Kwahiyo lazima vitu muhimu vifanyike kwanza, mauchumba na pete na baadaye ndoa inakaribia ndio mnaweza kufanya hivyo,” ameongeza Ben Pol.
0 comments:
Post a Comment