skip to main |
skip to sidebar
Msanii wa Bongo Fleva, Barnaba amewataka wasanii wenzake kutopenda
kuongea sana katika vyombo vya habari kama hamna ulazima wa kufanya
hivyo hasa pale wanapoyumba kimuziki.
Barnaba amesema kuna wasanii kila mara ni kusema kuweni tayari kwa
ujio wangu hadi inafika wakati unajiuliza tuwe tayari mara ngapi? na
kuongeza kuwa muda mwingine kutokuongea kuna...
Kama wewe ni shabiki wa Bongo fleva kuanzia miaka ya 2000 na
kuendelea naamini utakuwa unalikumbuka kundi la muziki la TMK Wanaume,
kundi ambalo lilikuwa likivikutanisha vichwa kama Juma Nature, Chege, Temba na hata KR MUllah.
Kundi ambalo baadaye lilikuja kugawanyika na kuibua makundi mawili ambayo ni TMK Wanaume Family na TMK Wanaume Halisi ambapo Juma Kassim Kiroboto ndiye ambaye alikuwa kiongozi wa TMK Halisi ambao...
BET wametoa orodha ya wasanii ambao watapanda katika steji ya utoaji tuzo usiku wa June 25 Jumapili mwaka 2017.
Tuzo hizo zinatarajiwa kufanyika katika jiji la (L.A)Los Angeles
nchini Marekani katika ukumbi wa Microsoft Theater , Hata hivyo msanii
tokea bara la Afrika Wizkid nae ametajwa katika watu
watakao weza kushiriki kutoa burudani kwenye Tuzo hizo kubwa huku list
hiyo ikiwa na...
Imebainika sababu ya kundi la Yamoto Band kuamua kila msani kutoa
wimbo wake ni baada ya msanii Aslay kutoa wimbo ‘Kida’ bila ruhusa ya
uongozi wa kundi hilo na bila kushauriana na wenzake.
Akizungumza na EA Radio katika kipindi cha Planet Bongo, msanii Beka
amesema baada ya Aslay kuchukua hatua hiyo nao walishawishika kufanya
hivyo ndipo...