Pages

Subscribe:

Thursday, February 15, 2018

BIRDMAN AKUMBUKA SIKU YAKE YA KUZALIWA KWA KUTIMIZA MIAKA 49

Staa wa muziki wa rapa na mfanyabiashara kutoka nchini Marekani, Bryan Christopher Williams ‘Birdman’ anaikumbuka siku muhimu kwake ikiwa ni siku ya arobaini ya mwaka 2018.

Birdman siku anazaliwa ilikuwa ni siku ya Jumamosi na kipindi hicho Rais wa Marekani alikuwa Richard Nixon na siku kama ya leo aliingia katika orodha ya usawa wa kufanana kwa tarehe ya kuzaliwa na watu maarufu ambao ni pamoja na...
ni kocha wa soka wa Marekani na mchezaji Staafu ‘Edgar Bennett’.

Hesabu ya siku ya leo kamatika mwaka mzima inaonesha kuwa mpaka uishe zinabaki siku 319 tu na katika kumbukumbu ya siku ya leo Birdman anatimiza umri wa miaka 49.

0 comments:

Post a Comment