Ikiwa Jana February 14, 2018 ilikuwa ni siku ya wapendanao ambapo watu wengi ulimwenguni wanaitumia kwa kuwapa zawadi watu wanao wapenda, sasa mchekeshaji kutokea nchi ya Kenya Eric Omondi ameamua kuitumia siku ya jana kwa kumpa mpenzi wake Chantal zawadi ya Gari.
Erick Omondi amempatia mpenzi wake huyo Gari aina ya Red BMW X6 M Sport ikiwa ni siku ya wapendanao na kuandika…>>>
” HAPPY VALENTINES MY LOVE ” – Erick Omondi



Follow on Instagram
0 comments:
Post a Comment