Saturday, August 25, 2018
Wednesday, August 22, 2018
UWOYA AZUNGUMZIA UKARIBU WAKE NA TESSY WA ASLAY
Msanii wa filamu Irene Uwoya amefunguka kuzungumzia ukaribu alionao na aliyekuwa mpenzi wa muimbaji Aslay, Tessy.
Muigizaji huyo ambaye ni mke halali wa rapa, Dogo Jana amedai yeye akikutana na mama watoto huyo wa Aslay hawazungumzi ishu kuhusu...
Labels:
HABARI & UDAKU
ZAIDI YA LIL 90 ZATUMIKA KUTIMIZA NDOTO YA SHILOLE
Msanii wa muziki na mjasiliamali, Shilole aka Shishi ameweka wazi gharama alizotumia kujenga nyumba yake ambayo aliionyesha mtandaoni. Akiongea na kituo cha redio cha Clouds FM Jumanne hii, Shishi amedai zaidi ya ths milioni 90 aliyoitumia imetokana na muziki wake na sio biashara zake.
“Sijawahi kukopa, nimejenga kupitia muziki wangu, hadi sasa nimetumia kama mill. 90. Ni nyumba mbili zipo kwenye...
Labels:
HABARI & UDAKU
JESHI LA UGANDA LAOMBA RADHI KWA KUMPIGA MWANDISHI WA HABARI
Baada ya video ikiwaonesha
Askari Polisi nchini Uganda wakimshushia kichapo Mwandishi wa Habari wa
shirika la utangazaji la Reuters nchini humo, James Akena kusambaa
mitandaoni. Hatimaye Jeshi hilo limeomba radhi kwa kitendo hicho.
Taarifa iliyotolewa na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini humo IGP Martin Okoth Ochola amesema kuwa...
Taarifa iliyotolewa na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini humo IGP Martin Okoth Ochola amesema kuwa...
Labels:
HABARI & UDAKU
MBWA APELEKEA KIFO CHA MWANADADA KULIWA NA MAMBA
Mwanamke mmoja nchini Marekani ameuawa na mamba mwenye ukubwa wa futi nane maarufu kama ‘alligator’ baada ya kutaka kumsaidia mbwa wake aliyekuwa anapiga kelele pembezoni mwa bwawa.
Victim Cassandra Cline mwenye umri wa miaka 45, ameuawa na mamba huyo kisha kumzamisha hadi chini ya maji wakati alipokuwa....
Labels:
HABARI & UDAKU
Subscribe to:
Posts (Atom)