Tuesday, June 25, 2019
Monday, May 27, 2019
Sunday, March 17, 2019
Saturday, January 19, 2019
Thursday, January 17, 2019
HUYU NDIYE JASON SPINDLER RAIA WA MAREKANI ALIYEFARIKI NCHINI KENYA
Aliyenusurika katika shambulizi la kigaidi la Septemba 11 mwaka 2001 ni miongoni mwa watu 14 waliouawa na magaidi kwenye jengo lenye hoteli ya Dusit 2, Riverside jijini Nairobi nchini Kenya.
Kijana huyo Mfanyabiashara raia wa Marekani, anajulikana kwa jina la Jason Spindler ni mwanzilishi na Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya I-Dev International, alinusurika katika shambulizi lililofanywa na...
Labels:
HABARI & UDAKU
BABA MZAZI WA ALIKIBA AZIKWA MAKABURI YA KISUTU
Mwanamuziki Ali Kiba amefiwa na baba yake Saleh Kiba leo katika Hospitali ya Muhimbili alipokuwa amelazwa kwa takribani siku 21. Akithibisha taarifa ya kifo hicho, Abdu Kiba ambaye ni mdogo wa Ali Kiba alisema ni kweli baba yao amefariki na msiba upo nyumbani kwao Kariakoo Mtaa wa Muheza.
Kwa mazishi yamefanyika leo hii saa...
Labels:
HABARI & UDAKU
Friday, January 11, 2019
ATAKAYE HITAJI KUMSHIKA MKONO R KELLY KULIPIA ZAIDI YA LAKI 8
Kupitia mtandao wa TMZ umeripoti kuwa R Kelly ana mpango wa kufanya show Mjini Ludwigsburg nchini Ujerumani mwezi April mwaka huu 2019 ambapo unaambiwa mauzo ya tiketi yanatajwa kufikia gharama zaidi ya shillingi laki mbili za Kitanzania pia kwa shabiki atakayetaka kusalimiana naye itabidi alipe...
Labels:
HABARI & UDAKU
Subscribe to:
Posts (Atom)