Pages

Subscribe:

Wednesday, September 2, 2015

Download: Rick Ross ft The Dream_Money Dance + Foreclosures


Money Dance


Foreclosures

Download: Mikey Cyrus ft Big. Sean-Tangerine


Download

Download: Young Jeezy_god


Download

STORY: PETE YA JINI SABRAH... EPISODE 4 To 7


PETE YA JINI SABRAH - 4 To 7
Mtunzi : Mwinyimvua 
0789 569355 
Gafla baba sophia roho iliacha mwili sikuweza kuamini kuona kitendo kile kutokea mikononi mwangu machozi yalini tiririka mashavuni kwangu huku fredy na mama sophia pasipo kujua nini kinaendelea " Fredy Fredy simamisha gari " nilisikika nikisema " Kuna nini?? " Sauti ya fredy ilisikika huku akipunguza mwendo wa gari " Jamani fanyani haraka mume wangu nitamkosa...

HAYA NDIYO MAMBO YA KUZINGATIA ILI SHERIA YA MTANDAO ISIKUPITIE


Sheria ya mitandao inaanza kutumika rasmi tarehe 1 septemba 2015, haya mambo 10 muhimu ili sheria hii isikukamate
1. Epuka Kusambaza ujumbe wa uchochezi ama ushawishi wa kisiasa unaoweza kuleta athari kwa jamii yetu kupitia mitandao
2. Epuka Kusambaza au kutunga ujumbe unaoleta uchochezi wa kidini unaoweza kupelekea kuvuruga amani na maelewano kwa jamii kupitia mitandao.
3. Epuka Kusambaza picha ama...

SIMU YA OMMY DIMPOZ YAMTOA USHAMBA WEMA

Haya ndiyo maneno aliyoandika staa wa Bongo Movies, Wema Sepetu katika mtandao wake wa Instagram baada ya kupewa zawadi ya simu na msanii mwenzake, Ommy Dimpoz: “Akhsante bwana Omary Nyembo a.k.a Dimpoz kwa poz kwa zawadi ya simu toka US japo imenitoa ushamba hahahahahaha!”

Tuesday, September 1, 2015

Download: Jambo Squad ft Young Mega_Jambo Squad Cafe


Download

Download: Shebby Love_Wakati Umewadia


Download

SHILOLE AKAIDI ADHABU ALIYOPEWA NA BASATA


Msanii Zuwena Mohamed alimaarufu kama Shilole amekaidi adhabu aliyopewa na Baraza la Sanaa Tanzania (Basata) iliyomtaka kutoshiriki masuala ya sanaa ndani na nje ya nchi kwa mwaka mzima.



Shilole amekaidi adhabu hiyo baada ya kuonekana akifanya show katika kampeni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) akimnadi Mgombea nafasi ya urais wa chama hicho Dk. John Magufuli wakati wapo jijini...

Download: Dj Jors Bless_Zigo (rmx)


Download