skip to main |
skip to sidebar
Video vixen machachari, Gigy Money amedai ni muda wa rapper Nay wa
Mitego kubadilika kwasababu anachokisikia kwenye nyimbo zake ni taarab
na sio hip hop ya ukweli.
Gigy ambaye hapo awali amewahi kuzinguana na hitmaker huyo wa ‘Nasaka
Pesa’ baada ya kutumika kwenye video ya Shika Adabu Yako ya rapper huyo
na kutolipwa ujira wake, amemuambia mtangazaji wa Jembe FM ya Mwanza, JJ
kuwa hip hop ya Nay imejaa...
Jana
ilikuwa siku kubwa kwa label ya WCB inayomilika na Diamond Platnumz.
Kwa mara ya kwanza ilifanikiwa kumsainisha msanii mkubwa anayesifika kwa
utunzi na uimbaji wa hali ya juu. Kwa kumsajili Rich Mavoko, WCB
ilikuwa kama vile timu ya soka inapomsajili mchezaji maarufu na tena kwa
dau kubwa.
Mavoko
ameungana na Diamond mwenyewe pamoja na wasanii waliosainishwa awali,
Harmonize na Raymond. Pia katika utambulisho wa label hiyo ulioendana
sambamba na kumtangaza Mavoko kama msanii wake mpya, Queen Darleen, dada
yake Diamond naye...
Muhammad Ali has died aged 74 after a 32-year battle with Parkinson's disease.
The
legendary boxer - widely regarded as the best of all time - died with
his family at his side on Friday evening, a day after he was rushed to
hospital with difficulty breathing.
'After
a 32-year battle with Parkinson's disease, Muhammad Ali has passed away
at the age of 74. The three-time World Heavyweight Champion boxer died
this...
MTUNZI: Ally Mbetu ‘Dr Ambe’
ILIPOISHIA:
Deusi aliipokea glasi na kuyanywa maji yote kwa mkupuo kisha aliiweka glasi juu ya meza. “Deusi.”
“Naam mkuu.”
“Kwanza pole sana.”
“Sijapoa mkuu.” “Kuna siri gani kati yako na mkeo?”
SASA ENDELEA...
“Kwa kweli sijui hata kitu kimoja, ni mwezi wa pili sasa, mke wangu
ameujeruhi moyo wangu kwa kukosa uaminifu wa kubeba ujauzito usio kuwa
wangu.”
“Mkeo ulimuoa kwa mapenzi yake au kwa kulazimishwa?” “Kwa
kweli mke wangu nilichaguliwa na...