Pages

Subscribe:

Saturday, March 17, 2018

FOLLOW US ON INSTAGRAM SMASH JUANITO

Image result for SMASH
Follow our instagram account now by click down here then follow

Follow Here

FEMI ONE AUELEZEA WIMBO WAKE MPYA ZAGAZAGA



Rapper Femi One kutoka nchini Kenya, amefunguka kuhusu wimbo wake mpya wa ‘Zaga Zaga’ na sabau za kumshirikisha Mejja kwenye ngoma hiyo.

Akiongea na Bongo5, rapper huyo wa kike ambaye yupo chini ya lebo ya Kaka Empire, amesema kuwa ngoma hiyo inamliwaza mtu anapokuwa na matatizo na pia ilikuwa ndoto yake ya muda mrefu kufanya...

FAHAMU KITU KUHUSU HII CHOCOLATE YA GHARAMA KULIKO ZOTE DUNIANI

Inawezekana wewe ni moja kati ya watu wanaopenda chocolate kama kitafunwa (snack) lakini je umewahi kuhisi kuna chocolate ya gharama ya juu zaidi kiasi cha kupelekwa kwenye maonyesho ya biashara?.

Basi jana March 16, 2018 chocolate inayodaiwa kuwa ya gharama ya juu zaidi duniani ilipelekwa kwenye maonyesho ya biashara kwenye Mji wa Obidos nchini Ureno.
Chocolate hiyo ambayo ni ya gharama ya Euro 7,728 ambayo ni sawa na Fedha za Kitanzania Shilingi Milioni 20.7, imefunikwa na...

HII NDIYO LIST YA NYIMBO ZA DINI ZILIZO KWENYE ALBAM YA SNOOP DOGG

Staa wa muziki wa Hip Hop nchini Marekani Calvin Cordozar Broadus ambaye wengi wanamfahamu kwa jina maarufu kama Snoop Dogg alitangaza kuachana na muziki wa Hip Hop (kidunia) na kumrudia Mungu kwa kuanza kufanya nyimbo za dini.

March 16 Snoop Dogg ameachia rasmi album ya nyimbo za injili inayokwenda kwa jina la ‘Bible of Love’ mkongwe huyo katika muziki wa Hip Hop March 16 ameachia album yake hiyo ya gospel, baada ya...

Q CHIEF ASHUSHA ZIGO LA LAWAMA KWA PAPII KOCHA

Msanii wa BongoFleva Q Chief ameibuka na kujitetea kuwa hana tofauti yeyote ile na Papii Kocha pamoja na Nguza Vicking ila kuna baadhi ya watu ndio wanataka kuwatia ubaya kuhusiana na kuzimiwa MIC akiwa kwenye jukwaa akitumbuiza. 

Q chief ametoa kauli hiyo akiwa anazungumza kwenye kipindi cha eNewz inayorushwa na tinga namba moja kwa vijana EATV baada ya kupita siku kadhaa tokea msanii huyo kuzimiwa MIC kwenye 'show' ya...

WEMA SEPETU ASHINDWA KUVUMILIA COMMENT ZA MATUSI ACHUKUA HATUA

Muigizaji wa filamu mwenye nyota yake bongo na Afrika Mashariki Wema Sepetu, amedai amevumilia matusi vya kutosha anayotukanwa na kupitia mitandao ya kijamii bila kosa lolote hivyo kwa sasa ataenda nao hatua kwa hatua. 

Wema Sepetu ametoa kauli hiyo alasiri ya jana (Machi 16, 2018) baada ya baadhi ya watu kupenda kumtolea maneno machafu na kumdhihaki kwa jambo ambalo yeye...

Watch & Download: Jux_Fimbo (Official Video)


Watch Here

Watch & Download: Diamond ft Omarion_African Beauty (Clean Video)


Watch Here

Download: Jux_Fimbo


Download

Download: Maua Sama_Nakuelewa


Download