Pages

Subscribe:

Tuesday, March 22, 2016

Download: G Rico Classic_Pole Moyo


Download

AFYA YA CHID BENZ YAWASHTUA WENGI


CHID benzi
Kuna picha siku ya jana zilikuwa zikisambaa kwenye mitandao ya kijamii zikimuonyesha Chid Benz akiwa amepungua mwili na kuonekana ni dhaifu, jambo ambalo limewahuzunisha mashabiki wengi na wadau mbali mbali, huku wengine wakisema kuwa Chid Benz anahitaji msaada kwani hali yake ni mbaya.

Kwa upande wake msanii Afande Sele alipost picha hiyo ya Chid Benz na kusema madawa ya kulevya ambayo yanaingia nchini...

HEMED PHD WANTED BAADA YA KUMTAPELI PRODUCER SH MILIONI 1.5

hemed phd
MWIGIZAJI wa filamu Hemed Suleiman ‘Phd’ anatafutwa na mtayarishaji wa Filamu nchini baada ya kuchukua malipo kwa ajili ya kushiriki filamu ya Maziko saa sita na kulala mitini FC imetonywa na mdaku aliyopo anga za Phd anazopinda kujidai.
 

Mdaku huyo akiidakisha FC amedai kuwa msanii huyo wa muziki na filamu...

JAYDEE: NILILALA NIMEAMKA TENA


ladyjaydee
Unapozungumzia wakongwe wa Muziki wa Bongo Fleva kwa upande wa wanawake, jina la Judith Wambura ‘Lady Jaydee’ hutaacha kulitaja miongoni mwao. Kwa zaidi ya miaka 15, mkongwe huyu ameweza kukaa kwenye muziki pasipo kutete-reka huku kila baada ya kipindi akiibuka na nyimbo ambazo zinakuwa gumzo.
 
Tangu mwaka 2000 hadi sasa ameshanyakua tuzo zaidi ya 25 za ndani na nje ya nchi huku akishiriki katika tuzo zaidi 10 zikiwemo Afrimma, Kora, Kisima pamoja na Kili.
Jide ambaye...

Monday, March 21, 2016

Download: Lady JayDee_Ndi Ndi Ndi


Download

Download: T.I.D x Dully Sykes & Joh Makini_Confidence


Download

DAKTARI AFUNGUKA MAINI YA PENYY YAMEANZA KUHARIBIKA SABABU HII...

Habari mbaya! Majibu ya daktari yamemkatisha tamaa Mtangazaji wa Zouk TV, Penniel Mungilwa ‘VJ Penny’ baada ya kuambiwa kuwa, kutokana na unywaji wa pombe kali kupitiliza, maini yake yameanza kuharibika na asipochukua hatua za haraka hali itazidi kuwa mbaya zaidi.

Kwa mujibu wa mtu wa karibu wa Penny, hivi karibuni mrembo huyo aliyewahi kuwa mwandani wa Mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ alikuwa hajisikii vizuri na mara nyingi alipokuwa akijaribu...

SAKATA LA CHID BENZ MANGE KIBAMBI AWALIPUA WAUZA UNGA KWA KUWATAJA MAJINA YAO LIVE

Kutokana na sakata la mwanahiphop Chidi Benz, Mwanadada Mange kawacha live wauza unga huku akiwataja majina baadhi ya makada maarufu wa CCM Kinje Ngombare na Iddy Azan kama wahusika wa hii game.

Ameandika hivi Kwenye ukurasa wake wa Instagram:
From @mangekimambi_ - "Chi chi chi chi Chidi Benz... I respect huyu msanii sana. Ni Mtu wa kujitolea, about 4 years ago nilikuwa na...

Watch & Download: Bob Cat ft Lava Lava_Stress [Official Video]


Watch Here

BIFU LA ALIKIBA NA DIAMOND LAPOTEZA MWELEKEO WA OMMY DIMPOZ

Msanii wa bongo fleva Ommy Dimpoz ni moja kati ya wasanii wanaoathiriwa na kuwepo kwa ile bifu kati ya Team Diamond na Team Kiba kwa kuwa wote ni washikaji zake. Ommy amesema kuwa mashabiki wanamweka katika wakati mgumu kwani akionekana yuko na mmoja wapo...