skip to main |
skip to sidebar
MWANAFUNZI WA KIDATO CHA PILI AJIFUNGUA NDANI YA DALADALA
Huyu ndio yule mtoto wa kidato cha pili kajifungua ndani ya daladala kwa
Aziz Ally Dar, anasoma Kesho sec
alijaribu kunywa dawa ya kutoa mimba mambo ndo yakawa hivo yaani
alivyovaa... shungi sidhani kama mzazi wake ataamini....hivi nini kifanyike
ili utapaji mimba kwa wanafunzi upungue/uishe....elimu ya mapenzi salama
ifundishwe shule au wazazi wawe wawazi kwa watoto zao kuwaeleza njia salama
za kufanya mapenzi maana KUMKATAZA haiwezekani maana inaonekana
imeshindikana!
0 comments:
Post a Comment