skip to main |
skip to sidebar
KING CRAZY GK: WASANII BONGO WANATUMIKA KAMA TOILET PAPER
Katika kipindi cha Mkasi kinachorushwa kila siku ya jumatatu saa 3:30,
mkongwe wa bongo fleva nchini kutoka kundi la East Coast Team GK amesema
wasanii wengi nchini wanatumiwa na wanasiasa kama toilet paper jambo
linalochangia kushusha hadhi ya wasanii na industry nzima ya sanaa hiyo.
Amesema... pamoja na bongo fleva kukua kwa kiwango kikubwa tofauti na kipindi
cha nyuma na kupata mwitikio chanya kwenye jamii, bado suala la kutumika
vibaya wakati wa uchaguzi ni changamoto mojawapo.
Mytake: nadhani ni vema wasanii wakajikita kuhimiza utaifa zaidi na kipindi
hichi cha uchaguzi watunge na maendeleo kwa ujumla.
0 comments:
Post a Comment