Kwenye Facebook fan page yake diamond alipost picha akiwa na Eric Omond na kisha akaandika maneno haya My Brother @ericomondi sijui hata nikulipe nini kwa Upendo na...
Support unayozidi kunionyesha. Natamani ungejua ni kias Gani Tanzania Wanakupenda na jinsi gani uliwafurahisha jana.... Nakushkuru sana @ericomondi



Follow on Instagram
0 comments:
Post a Comment