Thursday, October 29, 2015
TUNDA AJICHORA TATTOO ZA WANAUME WOTE ALIOWAHI KUTEMBEA NAO
Labels:
HABARI & UDAKU
WEMA AJA NA KALI HII... AWAACHA WATU NJIA PANDA
Mwanadada Wema Seeptu na mpenzi wake, mshiriki wa shindani la Big brother mwaka 2014 kutokea Namibia, Luis Munana wamewaacha mashabiki wao bila majibu, Kama wawili hao wamefunga ndoa au La. Tazama pics 6 hapa ndani...
Labels:
HABARI & UDAKU
WIMBO WA SAUTI SOL FT ALIKIBA KUTOKA HIVI KARIBUNI
Wasanii wa kundi la muziki la Kenya ‘Sauti soul’ wamesema wimbo waliofanya na mkali wa ‘Cheketua’ Alikiba upo njiani na utajumuishwa kwenye Album mpya ya Sauti soul ‘Live And Die In Africa’
Sauti Sol ambao hadi sasa wamesha achia nyimbo sita zitakazokuwepo kwenye album ya tatu wamepost picha hiyo na kuandika “Kazi ipo King Kiba na Sauti Sol Muziki wa...
Labels:
HABARI & UDAKU
DAVIDO AWAGOMBANISHA MASOGANGE NA DIVA
Mtangazaji wa kituo cha redio cha Clouds, Loveness Malinzi ‘Diva’ na Video Queen maarufu Bongo Agness Jerald ‘Masongange’ wamejikuta wakiingia katika ugomvi, kisa kikiwa ni msanii wa muziki wa Nigeria, Davido.
Akizungumza, Masogange alimlaumu Diva, kwa kitendo chake cha kuandika katika ukurasa wake kwenye mtandao wa Instagram kuwa alizungumza na Davido ambaye alikana kuwa...
Labels:
HABARI & UDAKU
KAJALA ADAIWA KUMHARIBU PAULA
Labels:
HABARI & UDAKU
Wednesday, October 28, 2015
Monday, October 26, 2015
SWIZZ BEATZ APOST PICHA YA DIAMOND NA KUMPA PONGEZI
Hakuna msanii yeyote kutoka Afrika Mashariki, Magharibi na Kusini aliyewahi kushinda kipengele cha Worldwide Act, Africa/India kwenye tuzo za MTV EMA. Ushindi huo mkubwa unaomfanya sasa awe msanii namba moja Afrika.
“Hii sio tunzo yangu ni tunzo ya wewe na mimi maana bila kura yako nisingeweza kabisa kushinda,” anasema Diamond. “Naomba niwashukuru sana...
Labels:
HABARI & UDAKU
DIAMOND AMPIGA CHINI STAA WA BOLLY WOOD PRIYANKA CHOPRA
Labels:
HABARI & UDAKU
Sunday, October 25, 2015
DIAMOND PLATNUMZ NA OMMY DIMPOZ WATAKA KUZICHAPA NCHINI MAREKANI
Labels:
HABARI & UDAKU
Saturday, October 24, 2015
BARNABA & MR. BLUE WATUNISHIANA MISULI
Baada ya tukio maalumu lililokuwa limewakusanya wadau mbalimbali wa muziki maeneo ya Leaders Club siku ya jumamosi ya tarehe 17,October 2015,Usiku ambapo kulikuwa na show kali ya Msanii wa muziki ambaye anafanya poa East Africa akiwa anatokea nchini Uganda maarufu kwa jina la Jose Chameleone.
Kulikuwa na tukio lingine la kuburudisha kutoka kwa wasanii wa hapa bongo huko Back stage, wasanii hao ambao walionekana kuinogesha back stage ni Barnaba pamoja Mr.Blue. Kilicho fanyika na wasanii hao huko back stage ni...
Labels:
HABARI & UDAKU
JOKATE: UMAARUFU UNAPOTEZA WASANII WENGI HAPA BONGO
Akiongea na kipindi cha Planet Bongo cha East Africa Radio, Jokate amesema
kinachowaponza wasanii wengi ni umaarufu: “Unajua ukiwa maarufu kila mtu akawa anaimba nyimbo yako, ni rahisi kuvimba kichwa ukajiona wewe ndio wewe, unasahau kabla ya wewe kulikuwa kuna...
Labels:
HABARI & UDAKU
YOUNG D AELEZA SABABU YA KUACHANA NA LEBO YAKE YA MDB
Akizungumza katika kipindi cha XXL cha Clouds FM jana, Young Dee alisema hakutaka kuzungumzia suala la Max kwakuwa anaheshimu mchango wake katika muziki wake.
“Kama uliona nimekukosea, call me, I will apologize sio kwenda...
Labels:
HABARI & UDAKU
MASOGANGE AFUNGUKA BAADA YA TEKNO KUMKANA
Drama ya Agnes
Labels:
HABARI & UDAKU
Wednesday, October 21, 2015
BARAKAH DA PRINCE KUJENGA MAKTABA KWENYE ALIYO SOMA
Braka da Prince ameeleza mpango wake wa kujanga maktaba ya shule ya msingi aliyowahi kuisomea kama kurudisha shukrani kwa jamii .
Akiongea na Planet Bongo ya East Africa Radio, muimbaji wa ‘Nivumilie’ amesema kuwa ameamua kufanya hivyo ili kurudisha fadhila kwa jamii anayotoka baada ya kupata mafanikio kupitia...
Labels:
HABARI & UDAKU
NAKUTUNZA YA BARNABA NA CHAMELEONE KUTOKA OCTOBER 30
Barnaba amerekodi wimbo mpya na Msanii nguli wa Uganda Jose chameleone kwenye studio za High table sound ambazo anazimili yeye mwenyewe., Wimbo huo utatoka rasmi tarehe 30 mwezi huu na unaitwa ‘Nakutunza’, Barnaba ameandika maneno haya kwenye mtandao: With my Broo @jchameleone From #UG Asante sana for you’re Time Asante Sana Leo pale @Hightablesound Kiukweli...
Labels:
HABARI & UDAKU
Sunday, October 18, 2015
Saturday, October 17, 2015
PINKY KUSHEREHEKEA BIRTHDAY YAKE SIKU YA LEO
Kwenye ukurasa wake wa instagram Pinky amepost picha hiyo hapo juu na kuandika ujumbe huu hapa chini:
_pinktz❤💞Today is my birthday and I thank God for the gift of new life, new hope, great opportunities and above all gift of another year. Lord, let this...
Labels:
HABARI & UDAKU
NUSU NUSU YA JOH MAKINI & LAINI YA G-NAKO ZAZIDI KUNG'ARA
Baada ya ngoma zao kuendelea kuwa Hit na kufanya vizuri kwenye media mbalimbali G-Nako ameamua kutoa shukurani za dhati kwa wote wanao fanya mziki wao uweze kupiga hatua. G-Nako ametweet kwamba...
Labels:
HABARI & UDAKU
KURA YAKO ITAFANYA TUZO HII KUTUA Tz PIGA SASA
Ili kuweza kufanikisha ndoto zetu wa Tanzania na kutambulika duniani kote kinacho hitajika ni juhudi zetu wenyewe. Fanya kupiga kura kwa Diamond Platnumz ili kuweza kuipeperusha bendera ya Tz Duniani kote wajue kuwa hata sisi kimuziki tunaweza. bofya kwenye neno vote Here ili uweze kufanya uchaguzi.
VOTE HERE
Labels:
HABARI & UDAKU
OMMY DIMPOZ KUJA NA NGOMA HII BAADA YA UCHAGUZI
Baada ya ushindi wa Tuzo za Afrimma 2015, Ommy Dimpoz Ali-tease nyimbo mbili tofauti Instagram akiashiria kuwa anakaribia kupakua ngoma mpya, ktk post hizo Ommy aliandika: Vp? Mpo tayari baada ya uchaguzi tuachie Mabody na nyingine...
Labels:
HABARI & UDAKU
NISHA AJA NA KALI HII... AMVISHA HAMISA MABETO
Mwigizaji wa filamu Salma Jabu a.k.a Nisha amesema licha ya kufanya vizuri kwenye tasnia ya filamu sasa anafungua kampuni yake ya mavazi itakayo wavisha mastaa mbali mbali, Nisha amedai kuwa tayari ameshaanza kuwavisha wanamitindo kama...
Labels:
HABARI & UDAKU
P-SQUARE NA FALLY IPUPA WATAMANI KUFANYA KAZI NA DANCERS WA DIAMOND
Akizungumza na Bongo5 jana mmoja wa dancers hao, Imma Platnumz, alisema hali hiyo ya kufuatwa na dancers wa P-Square inaonyesha kazi wanayoifanya inakubalika.
“Tulikuwa tupo Nigeria tunafanya show, dancers wa P-Square wakataka kufanya kazi na sisi,” amesema. “Wakamfuta Diamond lakini...
Labels:
HABARI & UDAKU
Friday, October 16, 2015
VANESSA MDEE: VIDEO YA NEVER EVER IMENIGHARIMU ZAIDI YA MIL.40
Hii ndiyo kauli ya Vee : “Video ya wimbo wa Never Ever umenigharimu dolla elfu 20, na malengo bado hata sijafikia ukurasa wa pili wa kitabu ninachoandika na...
Labels:
HABARI & UDAKU
MADAWA YA KULEVYA YAFANYA YOUNG D KUPIGWA CHINI NA UONGOZI WAKE
Akiongea na kipindi cha XXL cha Clouds FM, CEO wa Kampuni hiyo, Millian amesema amesikitishwa kusikia kuwa Young dee anasema wamemkataza kufanya kazi na...
Labels:
HABARI & UDAKU
YOUNG D NA TUNDA KUFUNGA NDOA SOON
Labels:
HABARI & UDAKU
CHRISTIAN BELLA AFUNGUKA PESA ALIZO TUNZWA KWENYE FAINALI YA BONGO STAR SEARCH
Bella ameiambia Bongo5 kuwa ni mara yake ya kwanza kutunzwa zaidi ya shilingi milioni...
BIFU LA LULU NA WEMA SABABU NI DIAMOND PLATNUMZ
Habari za mjini zinadai kwamba, Wema amekuwa akishtushwa na kuchukizwa na kitendo cha Lulu kuwa upande wa aliyewahi kuwa mwandani wake, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kiasi cha kwenda nyumbani kwake, Madale-Tegeta jijini Dar, usiku wa manane na...
Labels:
HABARI & UDAKU
Thursday, October 15, 2015
DIAMOND PLATNUMZ TENA...!!! ASHINDA TUZO YA MTV
Diamond ameungana na mshindi wa India Priyanka chopra kuwania Tuzo ya...
Labels:
HABARI & UDAKU
Subscribe to:
Posts (Atom)