MWANAMUZIKI anayefanya vizuri akiwa chini ya Lebo ya ‘WCB’, ‘Queen
Darleen’ amefunguka kuwa anaumizwa sana na hali ya kuishi bila mpenzi
jambo ambalo limekuwa likimuumiza sana katika maisha yake ya sasa maana
yeye pia anahitaji kupenda na kupendwa kama walivyo watu wengine.
Akichonga na Showbiz Xtra, Queen Darleen alisema kuwa, tangu aachane na
mzazi mwenziye aliyezaa naye mtoto mmoja wa kike hajawahi kuwa kwenye
uhusiano wa kimapenzi jambo ambalo... amekuwa akijiuliza bila kupata jibu
kuwa linasababishwa na nini.
“Naumizwa na hii hali, kuna wakati huwa nafikiria wanaume wananiogopa au
sijui ni kitu gani kinatokea sasa nahitaji kuwa na mpenzi,” alisema
Darleen.
0 comments:
Post a Comment