Haya sasa Kanye West amerudi upya na ujio mwingine wa collection yake ya Yeezy Season 5 fashion show ambayo imefanyika jana.
Yeezy Season 5 imetajwa kama ni moja ya fashion show yake kubwa ambayo imekuwa bora zaidi tangu kuachiwa kwa Yeezy season 1 ambayo nayo ilianza vizuri, kitu kingine kikubwa ambacho watu wengi walikifurahia ni...
kuhusu mwanadada Halima Aden modo ambaye alivalia Hijab kwenye show hiyo ya Kanye West.
0 comments:
Post a Comment