Pages

Subscribe:

Wednesday, February 14, 2018

JASON DERULO AENDELEA KUJUTIA KUMPOTEZA JORDIN SPARKS



Jason Derulo na Jordin Sparks waliachana zaidi ya miaka 2 iliyopita. Tangu wakati huo Jordin aliolewa na anatarajia kupata mtoto wake wa kwanza. Ni wazi kabisa kwamba Jason bado anajutia kuachana na Jordin. Hii si mara ya kwanza kwa Derulo kusema majuto yake juu ya kumpoteza Jordin.

Ni dhahiri kwamba Jordan kwa sasa ana furaha katika mahusiano yake lakini Jason anaonekana kuiga tabia ya kuacha maoni kwenye picha za Ex wake kama ilivyo kwa...
Chris Brown na si kama Jason hakuwa na mahusiano yoyote tangu kuachana kwao, Derulo amekuwa kwenye mahusiano na watoto wazuri lakini bado tu anamkumbuka Jordan Sparks na hili linathibitisha kwamba Derulo alikufa akaoza kwa Jordan.

Happy Sunday! 🦋
📸: @_danaisaiah •••
“You made all the delicate, inner parts of my body and knit me together in my mother’s womb. Thank you for making me so wonderfully complex! Your workmanship is marvelous—how well I know it. You watched me as I was being formed in utter seclusion, as I was woven together in the dark of the womb. You saw me before I was born. Every day of my life was recorded in your book. Every moment was laid out before a single day had passed. How precious are your thoughts about me, O God. They cannot be numbered! I can’t even count them; they outnumber the grains of sand! And when I wake up, you are still with me!” ♥️ -Psalm‬ ‭139:13-18‬ ‭NLT‬‬
 
Jason amejibu baada ya jordini kipindi cha nyuma kutangaza kuwa anataraji kupata mtoto wa kiume Derulo kajibu kwa kusema
“I wish that was my boy"

0 comments:

Post a Comment