Pages

Subscribe:

Friday, February 16, 2018

NIKKI MBISHI: SITAFUTI BIFU NA MONI SABABU NAJUA HANIWEZI


Msanii wa muziki wa hip hop Bongo, Nikki Mbishi ameponda umoja/kundi la Moni na Country Boy (MoCo) kuwa madai halina misingi yoyote.

Rapper huyo ameiambia Clouds Fm kuwa kundi hilo ni la ujanja ujanja tu kwa sababu wasanii hawawezi kuanzisha kundi kwa kukutana tu juu juu na hamna mtu aliyestahili ndani ya...
mwenzie.

“Ina maana mimi nikiamua kuwa na crew na Stereo au One inakuwa ni ukweli kuliko Moni na Country Boy, mimi najua Moni ulikuwa na Centro Zone nilitegemea nione Central Zone ndio inafanya vile vitu,” amesema Nikki Mbishi.

“Sitafuti beef na Moni kwa sababu najua haniwezi, vile vile anajua popote alipo,” amesisitiza.

Nikki ameongeza kuwa Moni ameamua kuunda kundi na Country Boy kwa sasa anaona mwenzake kuna hatua fulani amepiga kimuziki au wote wameamua kufanya hivyo kwa sababu ya kuona wengine wakifanya hivyo na kufanikiwa lakini makundi yote yana muda mfupi kuvunjika.

0 comments:

Post a Comment