KWA MARA YA KWANZA CIARA AWEKA HADHARANI SURA YA MTOTO WAKE
Hatimaye staa wa muziki kutokea nchini MarekaniCiaraameonyesha sura ya mtoto wake wa kike aliyezaa na mume wakeRussell Wilson ambaye hajawahi kumuweka popote katika mitandao ya kijamii tokea amezaliwa.
Ciara kwa sasa ana watoto wawili ambapo mtoto wake wa kwanza wa kiume alizaa na staa wa muziki Future na wa pili ambaye ni wa kike amezaa na... mume wake Russell Wilson
0 comments:
Post a Comment