Pages

Subscribe:

Saturday, February 17, 2018

HII NDIYO RATIBA YA TOUR YA ASLAY BARANI ULAYA KWA MWEZI MZIMA


Msanii wa muziki Bongo, Aslay anatarajia kufanya riara ya kimuziki barani Ulaya. Muimbaji huyo atatumia kipindi cha zaidi ya mwezi mmoja kukamilisha ziara hiyo inayotarajiwa kuanza March 2 hadi April 7 mwaka huu.

Kwa kipindi hicho atafanya show nane katika nchi mbali mbali zikiwemo Norway, Sweden, Finland, Swiss, Germany, Denmark na...
Holand.
Fri 2.3 Stockholm – Sweden
Sat 3.3  Tampere-Finland
Sat 17.3 Berlin-Germany
Sat 24.3 Munich -Swizz

Fri 30.3  Copenhagen- Denmark
Sat 31.3 Köln-Germany
Fri 6.4  Holland
Sat 7.4  Helsinki-Finland

0 comments:

Post a Comment