Ni huko kwa New York Fashion Week ambapo designer Alexander Wang ambaye ali design gauni la harusi la Vanessa Williams .
Kwenye collection yake ya For Fall 2018
Wang aliamua wala asiahangaishe ma models kwa kuwabadili nywele na kua
blonde au kwenda na pixie cut akaona arudishe style ya vibanio ya zamani
ya the... claw clip.
Miaka ya 90 ndo hivi vibanio vilitamba
sana i think bongo hadi miaka ya 2000 hivi bado vilikua kwenye chat,Sasa
miaka minne iliyopita hivi vibanio vilikua a no no lakini thanks to
Alexander Wang sasa hivi vitarudi kwa kasi kwenye ilimwengu wa fashion
na vita trend hivyo balaaa.The power of re introducing.



Follow on Instagram
0 comments:
Post a Comment