Chelsea licha ya kuwa imekuwa haifanyi vizuri katika Ligi Kuu kwa baadhi ya mechi zao kiasi cha kuhesabiwa kuwa msimu huu watashindwa kutetea taji lao, Jana kwenye FA dhidi ya Hull City wamefanikiwa kupata...
ushindi wa magoli 4-0.
Magoli ya Chelsea yakifungwa na Willian aliyefunga magoli mawili dakika ya 2 na 32, Pedro Rodriguez dakika ya 27 na Oliver Giroud akifunga goli lake nne kwa Chelsea huku likiwa ni goli lake la kwanza toka ajiunge na Chelsea akitokea Arsenal.



Follow on Instagram
0 comments:
Post a Comment