Pages

Subscribe:

Wednesday, April 4, 2018

OFISI ZA MAKAO MAKUU YA YOUTUBE ZAVAMIWA NA WAFAYAKAZI WANNE WAPIGWA RISASI


Nasim Aghdam, 39, has been identified as the woman who shot a man and two women with a handgun when she stormed YouTube's headquarters in San Bruno, California on Tuesday
Mwanaharakati mmoja wa wanyama nchini Marekani ametekeleza tukio la kisasi la kuwashambulia kwa risasi wafanyakazi wanne wa mtandao wa YouTube baada ya malalamiko yake mengi aliyokuwa akiwatumia kushindwa kufanyiwa kazi.

Mwanamke huyo aliyetambulika kwa jina la Nasim Aghdam (39) mkazi wa California Jana Aprili 04, 2018 alitembelea Ofisi za Makao makuu ya YouTube mjini San Bruno na kufyatua risasi kwa kutumia...
bastola ambapo baada ya tukio hilo alijiua kwa kujipiga risasi mwenyewe.

Mtandao wa Washington Post umeeleza kuwa mwanamke huyo alitekeleza shambulizi hilo baada ya kutuma malalamiko yake kwa zaidi ya mara tano kuhusu mtandao huo kuwa unanyanyasa watumiaji wake na umekuwa na sera za kidikteta.
Aghdam was a prolific YouTuber who had ranted online against the company's new policies and for 'censoring her videos and not paying her'
Baadhi ya malalamiko ya Nasim kuhusu malipo ya mtandao wa YouTube
Nasima alianza kuulalamikia mtandao wa YouTube kwa kuposti mabango kwenye mitandao miingine ya kijamii akitaka watu waususie mtandao huo kutokana na sera zake za kidikteta.
Aghdam was a frequent user of YouTube who was furious with the company for their 'dictatorial' new policies
Mtandao wa YouTube umethibitisha taarifa hizo ambapo ulitangaza watu wanne kujeruhiwa vibaya lakini baadaye majeruhi watatu waliaga dunia.

Tayari Mkurugenzi Mtendaji wa mtandao wa YouTube, Susan Wojcicki kupitia ukurasa wake wa Twitter ametoa pole kwa ndugu na jamaa waliyopatwa na tatizo hilo.

Hata hivyo, mpaka sasa hakuna taarifa yoyote mbaya kutoka kwa jeshi la polisi mjini California juu ya majeruhi hao wanne.

Rais wa Marekani, Donald Trump naye kupitia ukurasa wake wa Twitter ametoa pole kwa wafanyakazi wa mtandao wa YouTube.

Tazama video za mwanamke huyo pamoja na picha akiwalaumu YouTube kwa kumzingua kwenye malipo.
Aghdam founded a non-profit company for animal rights called Peace Thunder in 2011, but it is currently listed as 'dissolved' by the California business register
Picha za Nasma akiwa na wanyama na zile za malalamiko

Aghdam, who is from Southern California but is Persian, regularly complained online that YouTube were filtering and demonetizing her various video channels
Ukurasa wa YouTube Channel ya Nasim .
Officers and federal agents swarmed YouTube's headquarters complex just before 1pm after dozens of panicked employees called 911 to report gunfire

Heavily armed police stood guard outside the front entrance of YouTube's headquarters after the shooting broke out on Tuesday afternoon

YouTube employees leave the scene on Tuesday after a woman shot four people then herself

There was an onslaught of emergency vehicles at the scene moments after the shots were fired

0 comments:

Post a Comment