Tuesday, May 29, 2018
RAYVANNY AFUNGUKA SABABU ZA KUMSHIRIKISHA ROSA REE KWENYE POCHI NENE
Msanii wa muziki Bongo kutoka WCB, Rayvanny ameeleza ni kwanii Rosa Ree ndiye rapper pekee wa kike katika remix ya ngoma yake ‘Pochi Nene’
Muimbaji huyo amesema kuwa kwanza amekuwa akivutiwa na muziki wa Rosa Ree, pili wimbo wenyewe ulimuhitaji Rosa Ree kutokana na...
Labels:
HABARI & UDAKU
RUBY: WASANII WAMEKOSA AKILI YA ZIADA KWENYE BIASHARA
Msanii wa Bongo Flava, Ruby amesema kuwa wasanii wameshindwa kufanya biashara ya muziki kutokana na kushindwa kujitengenezea soko lao binafsi. Ruby amesema hayo wakati akieleza sababu za ukimya wake kwenye muziki.
“Kwa sababu napenda vitu vizuri na vyenye kukaa kwenye biashara yangu muda mrefu kwa sababu nilikuwa natengeneza...
Labels:
HABARI & UDAKU
WAKAZI AWACHANA WASANII WAKONGWE WANAO OMBA MISAADA KWENYE MEDIA
Msanii wa muziki wa Hop Hop, Wakazi amedai anachukizwa sana na kitendo cha wasanii wakongwe ambao wametumia muda wao vibaya kwenye muziki kulialia kwenye interview na kuomba wasaidiwa.
Rapa huyo amedai kitendo hicho sio kizuri na hakiwezi kuurutubisha muziki wa BongoFleva. “Hamna kitu kinaniboa kama Wasanii wakongwe ambao kila kukicha wanaenda kulia kwenye media ili wapewe support na...
Labels:
HABARI & UDAKU
WEMA AKOSEKANA MAHAKAMANI BAADA YA KWENDA INDIA KUFANYIWA UPASUAJI
Hayo yameelezwa na Mama mzazi wa Wema, Mariam Sepetu mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas Simba baada ya Wakili wa serikali, Constantine Kakula kuhoji kwanini...
Labels:
HABARI & UDAKU
ROMAN ABRAMOVICH APEWA URAIA WA ISRAEL
Abramovich ameshindwa kupewa viza kutokana na mzozo wa kidiplomasia kati ya taifa la Uingereza na Urusi, na yeye...
Labels:
HABARI & UDAKU
Friday, May 25, 2018
SABABU ZA ALIKIBA KUMTOSA NE-YO KWENYE SEDUCE ME ZAFICHULIWA
Producer anayedondosha hit baada ya hit kutoka kwa Alikiba, Man Walter amefunguka sababu ya muimbaji huyo kuachana na mpango wa kumshirikisha Ne-Yo katika ngoma yake ya Seduce Me.
Man Walter amesema tayari mipango yote ya kufanya kolabo hiyo ilikuwa imekamilika ikiwa ni pamoja na kumtumia vocal ila baadaye walikuja kuona muimbaji huyo alikuwa...
Labels:
HABARI & UDAKU
DIAMOND NA PAUL MAKONDA WAGUSWA NA MABADILIKO YA MUZIKI WA MRISHO MPOTO
Hakuna aliyetegemea kama msanii wa muziki wa asili, Mrisho Mpoto angeweza kutoka na kibao cha wimbo ‘Nimwage Radhi’ akiwa tofauti na kukubalika kila kona na mashabiki wa muziki wake.
Muimbaji huyo alizoeleka na nyimbo kama Sizonje, Njoo Uichukue, Mjomja pamoja nyingine nyingi lakini safari hii akiwa na Harmonize kutoka WCB amekuja...
Labels:
HABARI & UDAKU
NICKI MINAJ ABADILI TAREHE YA KUACHIA ALBUM YAKE MPYA
Nicki Minaj ameamua kubadilisha ratiba ya kuachia albamu yake mpya. Mapema mwezi huu katika onyesho la mitindo na mavazi Met Gala lililofanyika mjini New York, malkia huyo wa Hip Hop alisema albamu yake itatoka Juni 15 na itaitwa jina la Queen.
Kupiia mtandao wake wa Twitter, Nicki ameonekana kubadili muda wa kuachia albamu hiyo na kupanga kuiachia...
Labels:
HABARI & UDAKU
Tuesday, May 8, 2018
NICKI MINAJI AWEKA WAZI UJIO WA ALBAMU YAKE MPYA YA QUEEN
Baada ya kimya cha takribani miaka minne bila ya albamu sokoni, Nicki Minaj anarudi tena kwa kishindo kikubwa. Malkia huyo wa muziki wa Hip Hop ameweka wazi kuwa albamu hiyo itatoka Juni mwaka huu na itaitwa ‘Queen’.
Nicki amesema hayo Jumatatu hii kwenye red carpet ya onyesho la mitindo na mavazi Met Gala lililofanyika mjini New York huku akiwa amevalia gauni la rangi nyekundu lililobuniwa na Oscar de la Renta aliyefariki...
Labels:
HABARI & UDAKU
HARMONIZE ATAJA WANAUME 11 WALIOTEMBEA NA WOLPER
Msanii Harmonize kutokea WCB na aliyekuwa mpenzi wake Jacqueline Wolper, sasa drama tele licha ya kuachana na kila mmoja kuwa na maisha yake.
Msanii Harmonize kutokea WCB na aliyekuwa mpenzi wake Jacqueline Wolper, sasa drama tele licha ya kuachana na kila mmoja kuwa na maisha yake. Harmonize anaingia katika headlines mara baada ya...
Labels:
HABARI & UDAKU
MTOTO WA AGNESS MASOGANGE AKATAA SHULE
Mtoto wa video queen maarufu bongo Agnes Masogange ambaye amefariki
mwishoni mwa mwezi uliopita,Sania Shaaban, amekataa kusoma shule za
bweni ambazo ameahidiwa kusomeshwa na wafadhili, na kutaka kusoma shule
za kutwa.
Akizungumza kwenye Planet Bogno ya East Africa Radio, Sania amesema hataki kukaa mbali na shangazi zake ambao ndio...
Akizungumza kwenye Planet Bogno ya East Africa Radio, Sania amesema hataki kukaa mbali na shangazi zake ambao ndio...
Labels:
HABARI & UDAKU
NICKI MINAJI NA CARDI B WAKUTANA USO KWA USO METGALA
What A Moment The Female rapper Nicki Minaj amekutana uso kwa uso na Cardi B kwenye Onyesho la Mitindo na Mavazi, #MetGala mwaka 2018.
Wawili hao wamekuwa wakihusishwa kuwa kwenye BEEF hasa baada ya #CardiB kuja kwa kasi kwenye Industry ya Hip Hop na kutishia...
Labels:
HABARI & UDAKU
Monday, May 7, 2018
NASTY C ANYAKUA TUZO YA THE HEADIES KIPENGELE CHA AFRICAN ARTIST OF THE YEAR
Rapper NastyC wa Afrika Kusini amefanikiwa kushinda Tuzo ya African Artiste Of The Year katika Tuzo kubwa za Nchini Nigeria, THE HEADIES 2018, zilizofanyika usiku wa kuamkia leo.
Nasty C alikuwa akiwania kipengele hicho na wakali wa Afrika, @Sarkodie x @Casspernyovest x @Sautisol pamoja na Mtanzania pekee kwenye Tuzo hizo...
Labels:
HABARI & UDAKU
JORDIN SPARKS AJIFUNGUA MTOTO WA KIUME NA KUMWITA DJ
Mwimbaji wa Marekani #JordinSparks, amefanikiwa kujifungua mtoto wa kiume, na kumpatia jina la #DJ
@Jordinsparks ambaye aliwahi kutamba na Hits zake, "No Air" na "One Step At A Time", amepata mtoto huyo akiwa ni wa kwanza kwake kwenye penzi lake na...
Labels:
HABARI & UDAKU
FAIZA ALLY AMWAGA MACHOZI HADHARANI BAADA YA KUNASA UJAUZITO TENA
Kwa mujibu wa chanzo makini, hivi karibuni Faiza alinasa ujauzito mwingine wa mtoto wa tatu huku mtoto wake wa pili akiwa na umri wa miezi nane tu kisha ukachoropoka. Chanzo hicho kilitiririka kuwa, Faiza alianza kuumwa bila kujua anaumwa nini baada ya...
Labels:
HABARI & UDAKU
JANJA NA IRENE UWOYA WAANZA HARAKATI ZA KUSAKA MTOTO
Wakizungumza kwa nyakati tofauti mastaa hao walifunguka kuwa, kwa kipindi hiki cha mvua ndiyo muda sahihi wa kusaka mtoto hivyo wanalifanyia kazi suala hilo kwa...
Labels:
HABARI & UDAKU
KUMBUKUMBU YA AJALI YA LUCKY VICENT MNARA WAJENGWA
Jana May 6 ilikuwa ni kumbukumbu ya mwaka mmoja tangu kutokea kwa ajali hiyo iliyobakiza wanafunzi watatu tu waliokuwa kwenye...
Labels:
HABARI & UDAKU
MITINDO: SOCKS IN SHOES KWA SASA NDIYO HABARI YA MJINI KWA WAKINA DADA
Ni watu wachache sana wanaoweza kuwa na ujasiri wa ku’roll mtaani wakiwa wametinga ‘Socks in Shoes’ karibu katika ulimwengu wa mitindo.
Kwa sasa fashion ya kuvaa ‘Socks in Shoes’ ndio inafaya poa sana kwa mastaa mbalimbali duniani ila kibongo bongo wapo...
Labels:
HABARI & UDAKU
MADJ NCHINI MAREKANI WAGOMA KUPIGA NYIMBO ZA KANYE WEST
Kauli ya Kanye West aliyoitoa wiki iliyopita kwenye mahojiano yake na mtandao wa TMZ akidai kuwa “Watu weusi walichagua kuishi kama watumwa kwa miaka 400“. Huenda ikawa imepokelewa kwa huzuni na jamii ya watu weusi nchini Marekani kwani tayari MaDj wawili wa kituo maarufu cha radio cha 105.1 The Bounce mjini Detroit wamekataa kucheza ngoma zake kwenye kipindi chao.
Kwa mujibu wa taarifa iliyochapishwa kwenye ukurasa rasmi wa Facebook wa kituo hicho cha Radio, MaDj hao maarufu mjini Detroit, DJs BiGG na Shay Shay Say wamesema kuwa...
Labels:
HABARI & UDAKU
Subscribe to:
Posts (Atom)