skip to main |
skip to sidebar
Msanii
wa muziki wa bongo fleva Msami ambaye kwa sasa anafanya vyema na wimbo
wake mpya 'Mabawa' amefunguka na kusema ni kweli alikuwa anatoka
kimapenzi na Irene Uwoya lakini toka wameachana wamebaki kuwa marafiki
na hawana tatizo lolote lile.
Msanii
akiwa kwenye kipindi cha Planet bongo amedai kuwa
hata alipokuwa akitoka na Irene alikuwa hana tabia ya kumfuatilia
katika mambo yake ayafanyayo ila amedai licha ya...
Msanii
wa filamu Shamsa Ford amemuweka wazi mpenzi wake aliyekuwa akimficha
kwa muda mrefu usiku wa siku yake ya kuzaliwa huku akimtupia Mama yake
mzazi shukurani za kutosha, Akiongea na Enewz ya East Africa Television Jumatatu hii, Shamsa
amesema baada ya kutendwa mara kadhaa alikuwa anaogopa kuweka wazi
mahusiano yake.
“Nakuwaga mzito labda kwa sababu ya uwoga lakini mapenzi yakikuzidi
mwisho wa siku unashindwa kujizuia, ni kweli nimetolewa mahari,” alisema
Shamsa.
Pia muigizaji huyo amemwagia sifa mama...
Rapper kutoka Morogoro, Stamina Siku ya leo anaachia remix ya wimbo
‘Mmeniroga’ aliowashirikisha rappers wanaofanya vizuri kwa sasa Roma na
mkongwe katika muziki huu, Jay Moe. Ngoma hiyo imefanyika katika...
Barakah Da Prince na Naj wanaendelea kupanda ngazi ya kuwa miongoni
mwa couple kwenye burudani zinazo tengeneza vichwa vya habari zaidi. Na kwa Barakah, huenda ameifahamu vyema ramani ya kutoboa kwenye
showbiz kuwa si muziki mzuri tu, bali kuwa na demu mkali na kujiachia
naye unavyotaka.
Jumatatu hii hitmaker huyo wa Siwezi ameonekana kwenye video
iliyosambaa Instagram akimmiminia mabusu ya kumwaga mpenzi wake huyo
anayeoneka mwenye...
Msanii wa muziki Shetta amefunguka na kueleza faida alizozipata baada
ya kutangaza management yake mpya ambayo imemsaidia kufanya mambo
ambalimbali ambayo hapo awali alikuwa akiyafanya mwenyewe.
Akiongea na Bongo5 Jumapili hii, Shetta amesema ameamua kufanya muziki wake ‘kiprofessional’ zaidi tofauti na awali. “Kuamua kuwa na management ni kuamua kuwa professional, huwezi kuwa
msanii huna management, huna...
Mkali wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz ni baba kijacho, amethibitisha ujio wa Chibu Junior. Diamond amethibitisha tetesi za ujio wa mtoto wake wa pili , ambapo amesema yeye na mpenzi wake Zari wanategemea mtoto wa kiume, “Yah kweli mimi ni baba kijacho,” Diamond amefunguka kwa kusema “Natarajia Mama Tiffa anipatie tena mtoto mwingine, atakuwa
wa kiume. Na itakuwa mwezi...
Kama unasubiri collabo ya Jux na msanii wa nje basi unaweza anza kumfikilia Beyonce. Jux amefunguka kuwa yupo tayari kumlipa Beyonce ili apige naye collabo “Msanii ambaye naweza nikalipia collabo yake ni Beyonce” Jux
ameiambia FahamuTv “Inaweza kuwa collabo inayoweza nipeleka sehemu flani
kwasababu itakuwa na...