Msanii
wa filamu Shamsa Ford amemuweka wazi mpenzi wake aliyekuwa akimficha
kwa muda mrefu usiku wa siku yake ya kuzaliwa huku akimtupia Mama yake
mzazi shukurani za kutosha, Akiongea na Enewz ya East Africa Television Jumatatu hii, Shamsa
amesema baada ya kutendwa mara kadhaa alikuwa anaogopa kuweka wazi
mahusiano yake.
“Nakuwaga mzito labda kwa sababu ya uwoga lakini mapenzi yakikuzidi
mwisho wa siku unashindwa kujizuia, ni kweli nimetolewa mahari,” alisema
Shamsa.
Pia muigizaji huyo amemwagia sifa mama...
yake mzazi huku akimshuru kwa malezi mazuri ambayo yamemfanya aonekane mtu mbele ya watu.
Tuesday, August 2, 2016
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment