wengi nchini wenye matatizo ya vichwa vibaya na mgongo wazi kupata matibabu.
“Moyo wangu unaniambia nisingeshikwa mkono ama kusaidiwa na watu basi nami nisingeweza leo hii kufikia hatua hii ndogo niliofikia… na ndiomaana #kidogo nikipatacho huwa napenda kusaidia wenzangu….. Leo Mapema nilitembelea ofisi za@GSMfoundationtz kuwasilisha kidogo tulichobarikiwa kwa niaba ya@wcb_wasafi kwajili ya kusaidia watoto wenye matatizo ya Vichwa vikubwa (Bobble Head Syndrome) na Mgongo wazi”
0 comments:
Post a Comment