Friday, August 12, 2016
RAMA DEE ARUDI BONGO KUKAMILISHA ALBUM YAKE MPYA
Msanii wa RnB, Rama Dee aliyehamishia makazi yake nchini Australia, amerudi nchini kwa mara nyingine kukamilisha project yake mpya. Akizungumza kwenye kipindi cha
Planet Bongo, Rama Dee alisema:
“Ni kweli niko Tanzania kwa sasa hivi na niko kumalizia project yangu, nimepanga kumalizia album yangu. Nilivyoenda Australia nilienda...
kurekebisha baadhi ya mambo yangu, nimerudi na energy kubwa kwahiyo natumaini watu watanipa support.”
Labels:
HABARI & UDAKU
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment