skip to main |
skip to sidebar
PENZI LA RIHANHANNA LAMZUZUA DRAKE AJIKUTA AKIWEKA BANGO NJIANI
Drake anazidi kuonyesha mapenzi kwa Rnb staa Rihanna, This time jamaa
kanunua bango kubwa la barabarani na kumuandikia ujumbe wa pongezi kwa RIRI
kwenye tuzo za MTV Video Music Awards.
Bango limeandikwa...
“Congratulations to Rihanna from Drake and everyone at
OVO,”
Rihanna alijibu ujumbe huu kwa kuandika “When he extra????!!!.”
Drake na Rihanna wametajwa kurudiana zaidi ya mara moja ndani ya hii miezi
miwili.
0 comments:
Post a Comment